and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,306
- 39,850
Una uhakika? Sekta ya kilimo tumesecure masoko bila kusahau 👇Kama KawAida Tumekwenda Tumerudi
Tunangoja Bwana Bure Atupe Chochote
Hongera sana kwa mafanikio haya
Naunga mkono hoja.Maonyesho tajwa yameisha (yalianza Oktoba 2021 mpaka Machi 2022) je Kama nchi tumevutia wawekezaji kiasi gani? Kuna ambalo tumejifunza huko? Tunaweza kuanza kufikiria Dar Expo 2090?
View attachment 2179103
Maonyesho tajwa yalipaswa kutupeleka mbeleNaunga mkono hoja.
Hili hata mimi nimelisema
P
Ha ha haNgoja tuone miongozo...
Wanamalizia posho kwanzaNgoja wale watu waje!
Yametupeleka... hebu sikizaMaonyesho tajwa yalipaswa kutupeleka mbele
PoleNdio kwanza hali inazidi kuwa mbaya.
Hii ripoti mbona haipo wazi kwa Wananchi?Naunga mkono hoja.
Hili hata mimi nimelisema
P