Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,633
We mburula nani analipwa hiyo hela weka majina hapa na viambatisho.CCM haina uwezo wa kuwabana watendaji Wazembe.Mtu anayelipwa Mshahara chini ya Tshs.200,000/=kwa Mwezi sawa na Dola 15 atawezaje kufanya kazi kwa ufanisi kama sio kugeuza Ofisi ya Serikali kuwa Sehemu ya Kupigia Dili zake.