Things Fall Apart
Senior Member
- Jun 26, 2012
- 178
- 146
...malizia na hii ATAFURAHI kukatwa.Hakika. Lowasa atajuuta kuhamia CHADEMA
...malizia na hii ATAFURAHI kukatwa.Hakika. Lowasa atajuuta kuhamia CHADEMA
mbona unaishia katikati? malizia kabisa HATA KWA...:boxing:CCM lazima ishinde
Kinana : 'CCM Kushindana Na Makapi Yake Uchaguzi Mkuu 2015 ' | MTANZANIA HALISIJukwaa hili ni vyema tukajenga hoja badala ya kutukana na kukejeli.Mleta hoja anasema kafanya rough or random survey ktk eneo fulani na kupata majibu fulani.Mtu mwingine anakuja kutukana.Kweli Bongo tunayo safari ndefu sana.
Kumbe umetembelea vijiweni! Watu wenye akili timamu wanashinda vijiweni?
Kwani wewe hujamsikia magufuli akizungumza kwenye mkutano?Ana namna ya maneno ya kujipendekeza sana kwa rais ili aonekane ni mchapa kazi.
Nakuamuru uwe makini na manenoyako ndugu
Kumbe umetembelea vijiweni! Watu wenye akili timamu wanashinda vijiweni?
Wana CCM wenzangu tukubaliane kwa kauli moja.
Hii ngoma imeshatuchachia. Magufuli hawezi katiza mbele ya Laigwanan.
labda utakuwa unaongelea wenye akili timamu wanao shinda/ishi ktk maeno ambayo hayana access ya internet,lakini kama unatuongelea sisi ambao kwetu huduma ya internet inapatikana,tulifanya hivi leo.
![]()
![]()
mamaako....We pimbi...unategemea nini kama mmefunguliwa humu ndani kama nyumbu na kila mtu ameamuriwa kuwa na ID zaidi ya 50?
We pimbi...unategemea nini kama mmefunguliwa humu ndani kama nyumbu na kila mtu ameamuriwa kuwa na ID zaidi ya 50?
Safi sana:becky::becky::becky::becky::becky::becky:
Magufuli ni sawa na msichana wa kazi mwenye bidii. Anafaa tu kwa kutumwa tumwa. Urais mnamuonea tu!
we pimbi tazama hii.
![]()
HAHAHAHAHA round hii mtakuja na kila aina ya assumption.HAHAHAHAHAHAHA.magambaaaaaaaaaaaExplanation hiyo ni simple..kila nyumbu mmoja amelazimishwa kuwa na ID zaidi ya 50 na kila ID lazima ifanye iweke comments sio zaidi ya 10 kwa siku...hapo unategeme nn?
CCM lazima ishinde
Huna aibu..watanzania tunanyonywa na wakoloni weusi maccm..wewe bado unayashabikia..ningekuwa nakujua..ningekupa la uso..lbda utazinduka!
Katika vijiwe kumi nilivyotembelea leo kuanzia Lumumba hadi Ofisi za NEC. Vijiwe nane vilikuwa vinamuongelea Lowassa wakati wanaCCM wako kwenye harakati za kuchukua fomu ya Urais. Vijiwe viwili ambavyo vilikuwa na wavaaji nguo za kijani, wengine boxers zao ni za C.C.M walijisahau na kujikuta wanaongelea Lowassa mazungumzo yao yote, vilevile walionyesha dhahiri pasipo shaka kukosa amani na raha kabisa kwa mamvi kubadili kambi.
Kwa hiyo basi kwa hali ya sasa ilivyo, ni vizuri UKAWA washughulike na hawa undecided voters, na wale wanaojifanya C.C.M damu, kumbe ndani ya mioyo yao, wako msibani wa kumpoteza Lowassa.
ccm ilafaa iondolewa ili ipumzike