Tathimini ya Leo, Lowassa V/S Magufuli

Tathimini ya Leo, Lowassa V/S Magufuli

Kuyazuia mafuriko kwa mkono nikujidanganya hapo ndipo ccm walipo bugi. Kilakona ya mtaa LOWASSA ndio habari inayo tawala
 
yaani Chadema, Ukawa, Na Lowasa funika ile mbaya wamempoteza Magufuli nimeenda Bank TV zao Lowasa, Barabarani watu na cmu Lowasa, maofisini Radio na TV Lowasa sasa nn cha ziada

kwaiyo hata kuondoka kwa mzee slaa hakujaondoa chochote kwenye mlinganyo?
 
Jukwaa hili ni vyema tukajenga hoja badala ya kutukana na kukejeli.Mleta hoja anasema kafanya rough or random survey ktk eneo fulani na kupata majibu fulani.Mtu mwingine anakuja kutukana.Kweli Bongo tunayo safari ndefu sana.

kwani we ni nani kwenye hii forum mkuu??
 
Kumbe umetembelea vijiweni! Watu wenye akili timamu wanashinda vijiweni?

Nyie wenye akili timamu mnashinda maofisini kwenu mlipojichagulia wenyewe! Kumbe tunaokaa vijiweni siyo watanzania
 
unasahau tu kua miaka yote ushindi wa hawa jamaa hua hawautegemei mjini,,, kuna watu huku madongo kuinama hawajui kingine zaid ya nyerere kua ndo rais mpaka keshokutwa na hawa ndo wapiga kura sio hawa jamaa wa kujificha chini ya vitz na kwenda tu gym,, hua hawapigi kura hawa mashoga na hata wakipiga ni wachache tu,,, ielewe sayansi ya namba ndugu yangu
nilishawahi kulisema hili ktk thread fulani,na leo narudia tena:

"kama mtaji wa CCM kushinda chuguzi ni kupitia kura za kikundi cha watz wajinga,misinformed ,wale wanaoishi ktk remote areas ambako hakuna wa huduma ya mtandao wa internet, basi kuna kila sababu ya kukiondoa chama hiki madarakani.kwasababu vipaombele ambavyo CCM huvitumia kubaki madarakani,haviendani na mahitaji ya sasa ya kidunia".
 
Mimi ofsini kila mtu kwenye laptop yake alikuwa ametune Azam TV au Radioone au capital kufatilia Cdm! kuna jamaa mmoja ni ccm alikuwa anataka kulia!
Yaani tumecheka mpaka basi!

ona huyu mgambo wa jiji nae!!eti ofisin!! ofisi zenu nyie wagambo hua zipo kwenye masufuria ya mama ntilie tu,, sasa ndani ya sufuria zile laptop inakaa vipi kwa mfano? na sa ngapi? na kuwadhulum ukoko wale ma mama ntilie mmuachie nani?
 
nilishawahi kulisema hili ktk thread fulani,na leo narudia tena:

"kama mtaji wa CCM kushinda chuguzi ni kupitia kura za kikundi cha watz wajinga,misinformed ,wale wanaoishi ktk remote areas ambako hakuna wa huduma ya mtandao wa internet, basi kuna kila sababu ya kukiondoa chama hiki madarakani.kwasababu vipaombele ambavyo CCM huvitumia kubaki madarakani,haviendani na mahitaji ya sasa ya kidunia".

"namba" hazikuruhusu kuwaondoa madarakani kwa sasa ndugu yangu, zinakuwezesha kuwatetemesha tuu,,,
 
labda utakuwa unaongelea wenye akili timamu wanao shinda/ishi ktk maeno ambayo hayana access ya internet,lakini kama unatuongelea sisi ambao kwetu huduma ya internet inapatikana,tulifanya hivi leo.
11802631_1037163709629711_5217728117492112280_o.jpg

11800415_1037164682962947_4994563147190459677_n.jpg

Bado hawaamini kinachoendelea
 
bakiza akiba ya maneno kiongozi

Kwa hiyo Rais wako hana akili timamu, ambaye kutwa alikuwa vijiweni hata alipokuwa waziri???
Pole sana, kumbe ulikuwa unatawaliwa na kiongozi hasiye na akili timamu!!!! Acha kutumia masaburi kufikiri......
 
Kumbe umetembelea vijiweni! Watu wenye akili timamu wanashinda vijiweni?

Kwa hiyo rais wako hayuko timamu???? Maana alikuwa anashinda vijiweni hata kipindi akiwa waziri.
Acha kutumia masaburi kufikiri!!!! Yaaani jitu zimaaaaa, hovyooooo, ndo maaana Ndugai anawapiga gogo watu kama nyie.....
 
Watanzania tusiwe wepesi wa kusahau huyu bwana Edo ni lini alikuwa msafi. Kama mna jamaa zenu halmashauri waulizeni alivyokuwa ana wasumbua kwa kuomba pesa kwa nguvu kutoka kwa wakurugenzi
 
unasahau tu kua miaka yote ushindi wa hawa jamaa hua hawautegemei mjini,,, kuna watu huku madongo kuinama hawajui kingine zaid ya nyerere kua ndo rais mpaka keshokutwa na hawa ndo wapiga kura sio hawa jamaa wa kujificha chini ya vitz na kwenda tu gym,, hua hawapigi kura hawa mashoga na hata wakipiga ni wachache tu,,, ielewe sayansi ya namba ndugu yangu

Usijali utapata utafiti mwingine wa random sampling kutoka mikoa ya pembezoni vijiji vya ndani ndani in three days time.
 
Back
Top Bottom