mwita ke mwita
JF-Expert Member
- Aug 13, 2010
- 8,058
- 3,755
bakiza akiba ya maneno kiongozikumbe umetembelea vijiweni! Watu wenye akili timamu wanashinda vijiweni?
bakiza akiba ya maneno kiongozikumbe umetembelea vijiweni! Watu wenye akili timamu wanashinda vijiweni?
Wana CCM wenzangu tukubaliane kwa kauli moja.
Hii ngoma imeshatuchachia. Magufuli hawezi katiza mbele ya Laigwanan.
Wana CCM wenzangu tukubaliane kwa kauli moja.
Hii ngoma imeshatuchachia. Magufuli hawezi katiza mbele ya Laigwanan.
nakuamuru uwe makini na manenoyako ndugu
kama umemsikiza kamanda mkuu na Lowasa ndicho walichoahidi,hakuna matusi
mkuu mimi nawashauri sana chadema juu ya hili:
twende kwenye kampeni,tumwage madini kistaarabu bila kumtukana mtu,tuwaache wakina nape watukane majukwaani.
sisi tumwage nondo za uhakika wananchi wasikie sera, na mipango inayotekelezeka, sio bla,bla za chama cha mapinduzi.
ndani ya chama cha mapinduzi tunakura nyingi sana,
Mimi ofsini kila mtu kwenye laptop yake alikuwa ametune Azam TV au Radioone au capital kufatilia Cdm! kuna jamaa mmoja ni ccm alikuwa anataka kulia!Katika vijiwe kumi nilivyotembelea leo kuanzia Lumumba hadi Ofisi za NEC. Vijiwe nane vilikuwa vinamuongelea Lowassa wakati wanaCCM wako kwenye harakati za kuchukua fomu ya Urais. Vijiwe viwili ambavyo vilikuwa na wavaaji nguo za kijani, wengine boxers zao ni za C.C.M walijisahau na kujikuta wanaongelea Lowassa mazungumzo yao yote, vilevile walionyesha dhahiri pasipo shaka kukosa amani na raha kabisa kwa mamvi kubadili kambi.
Kwa hiyo basi kwa hali ya sasa ilivyo, ni vizuri UKAWA washughulike na hawa undecided voters, na wale wanaojifanya C.C.M damu, kumbe ndani ya mioyo yao, wako msibani wa kumpoteza Lowassa.
Kumbe umetembelea vijiweni! Watu wenye akili timamu wanashinda vijiweni?
Magufuli ni housegirl. Bomba sana kufuata maagizo ya mwanaume mwenye mji wake. Urais ni maji marefu kwake. Lowasa haangalii makunyanzi, ni baba la mbegu. Isitoshe magufuli yupo Choo cha kike. Sisiem ni majambazi yasiyotakiwa kuanzia Oktoba. Ni sawa na Choo cha kike kisichokubali wadindishaji. Lakini Choo cha kiume, aaah, ni cha kila mtu mradi unajiamini na upo tayari kwa lolote.
Magufuli ni sawa na msichana wa kazi mwenye bidii. Anafaa tu kwa kutumwa tumwa. Urais mnamuonea tu!
Nakuamuru uwe makini na manenoyako ndugu
Wana CCM wenzangu tukubaliane kwa kauli moja.
Hii ngoma imeshatuchachia. Magufuli hawezi katiza mbele ya Laigwanan.
Mkuu MUSSA ALLAN ni wewe au umeibiwa ID? Kama ni wewe ni vema umeuona ukweli. Mimi nipo katika ofisi na nina marafiki na si wa vijweni, na vijiweni pia ninapita kupata opinion!!! Ukweli CCM kazi ni kubwa sana inahitajika. Hapo kampeni hazijaanza ambapo ninafahamu kutakuwa na ukweli mkubwa sana wa udhaifu wa CCM ambao utavuta wananchi wengi.Mkuu huu upepo sio mzuri kwa chama chetu.
Mkuu huu upepo sio mzuri kwa chama chetu.
Mimi ofsini kila mtu kwenye laptop yake alikuwa ametune Azam TV au Radioone au capital kufatilia Cdm! kuna jamaa mmoja ni ccm alikuwa anataka kulia!
Yaani tumecheka mpaka basi!
Kumbe umetembelea vijiweni! Watu wenye akili timamu wanashinda vijiweni?