Tathimini ya Leo, Lowassa V/S Magufuli

Tathimini ya Leo, Lowassa V/S Magufuli

Watanzania tusiwe wepesi wa kusahau huyu bwana Edo ni lini alikuwa msafi. Kama mna jamaa zenu halmashauri waulizeni alivyokuwa ana wasumbua kwa kuomba pesa kwa nguvu kutoka kwa wakurugenzi

Kwa vigezo vya usafi wa kiongozi vinapimwa na nini?
Wapi ulishaona uongozi wa wanadamu ukitawaliwa na malaika?
Hivi wewe hujachoshwa na utawala wa kiimla wa C.C.M?????? Wassira mpaka leo ni mbunge na bado anang'ang'ania ubunge hata kwa gharama ya kulazimisha ushindi wa kura za maoni chini ya ulinzi mkali. Hivi wewe unaona haya yote ni sawa????
Tunachoitaji kutoa mfumo C.C.M, wakae pembeni, wajitathimini, waone makosa yao, ili wakirudi madarakani watutumikie kwa unyenyekevu kama wanaoonyesha wakiwa wanaomba kura ambapo hadi watoto wadogo wanasalimiwa.
 
Mimi sijaona hoja yeyote ya mtoa mada nahisi uwezo wake wa kuchambua mambo ni wa mtoto wa nasari
nikupe Mfano rahisi
unategemea muhubiri Kama Mwakasege akasilimu dini na Kuwa muislam....
watu wataongelea shehe mkuu wa bakwata au wataongelea Mwakasege aliyesilimu dini?
 
Sijui CCM watajisikiaje kwa hili tukio la leo....Kila unakopita watu wanasikiliza Mkutano wa Chadema tu....walitegemea watateka macho na maskio ya watu kwa kugonganisha ratiba ya uchukuaji fomu na tukio la Chadema makusudi...hata umeme hawajakata maeneo mengi....matokeo yake tukio limekuwa la kawaida kama mtu kwenda kuhemea nyanya sokoni....teh teh....pole yao....hiyo ndo siasa....Mbowe mtu hatari sana....Hawatakaa wamsahau
 
Mimi sijaona hoja yeyote ya mtoa mada nahisi uwezo wake wa kuchambua mambo ni wa mtoto wa nasari
nikupe Mfano rahisi
unategemea muhubiri Kama Mwakasege akasilimu dini na Kuwa muislam....
watu wataongelea shehe mkuu wa bakwata au wataongelea Mwakasege aliyesilimu dini?

Interesting!!!!!!
Mfano wako hauko relevant na hoja wasilishwa!
Wapambanishwaji wote wanachuchumia madaraka ya uraisi kwa hiyo hawajayapata madaraka.

Mbili kwa namna jamiii ilivyokuwa inamwona Lowassa ukilinganisha na Dr. Magufuli, mwenye umakini yeyote yule, angekuchambulia kuwa household news ingekuwa Dr. Magufuli kuchukua fomu tena akipokewa na Rais wa JMT.
 
Hiyo cheka ni ishara kamili kuwa we kiumbe uko kwenye heat

Interesting!!!!!!!

Naona gogo la Ndugai limefanya kazi yake vyema kichwani kwako. Usijali mirembe imeandaliwa kwa ajili yako.
 
Binafsi naamini naamini Chadema kina sikika sana kwa kuwa wana chama wake wengi wana tokea miji mikubwa dar mwanza Arusha na mbeya ambapo fasiliti nyingi zipo vikiwemo vyombo vya habari ...ila tukumbuke hiyo ni chini ya 20 pasenti ya Tanzania.
natamani mtoa mada angekuwa rialistiki zaidi....na sio kutoka hoja isiyo na mashiko....
 
Kama ni debate, umepata ziro! Nilitegemea uzungumze jambo lenye uhusiano na kilichopo kwenye hoja, na kutoa maoni yako mbadala na sio kuwekea kifungoni uwezo wako wa kufikiri kwa kutoa ufafanuzi usiokuwa na uzito wowote zaidi ya kujaza wachangiaji kwenye thread hiiiii
 
Binafsi sikubaliani na tathimini iliyofanywa maana inaonyesha dhahir kuwa mtafiti alikuwa na majawabu yake. Plz tuwe huru na kutoa tastifa sahihi maana inavyoonyeshwa mtafiti alikuwa amegubikwa na mihemumko ya kicdm
 
Sijui CCM watajisikiaje kwa hili tukio la leo....Kila unakopita watu wanasikiliza Mkutano wa Chadema tu....walitegemea watateka macho na maskio ya watu kwa kugonganisha ratiba ya uchukuaji fomu na tukio la Chadema
makusudi...hata umeme hawajakata maeneo mengi....matokeo yake tukio limekuwa la kawaida kama mtu kwenda kuhemea nyanya sokoni....teh teh....pole yao....hiyo ndo siasa....Mbowe mtu hatari sana....Hawatakaa wamsahau

ni mbwembwe tu hizo... lkn ukwel unajulikana... na hiyo tabia yenu ya kusema kama kijana yuko CCM hana uzalendo itawaponza
CCM ndio baba lao
 
Katika vijiwe kumi nilivyotembelea leo kuanzia Lumumba hadi Ofisi za NEC. Vijiwe nane vilikuwa vinamuongelea Lowassa wakati wanaCCM wako kwenye harakati za kuchukua fomu ya Urais. Vijiwe viwili ambavyo vilikuwa na wavaaji nguo za kijani, wengine boxers zao ni za C.C.M walijisahau na kujikuta wanaongelea Lowassa mazungumzo yao yote, vilevile walionyesha dhahiri pasipo shaka kukosa amani na raha kabisa kwa mamvi kubadili kambi.

Kwa hiyo basi kwa hali ya sasa ilivyo, ni vizuri UKAWA washughulike na hawa undecided voters, na wale wanaojifanya C.C.M damu, kumbe ndani ya mioyo yao, wako msibani wa kumpoteza Lowassa.
Mkuu umenikumbusha siku moja huku kwetu magamba yalikuwa yanaendesha semina kwa makatibu wa matawi juu ya kusimamia uchaguzi. Basi wajumbe badala ya kuwa anatolea mfano mgombea wao yenyewe yakawa yanatolea mfano mgombea wa CHADEMA. Nilicheka nusura nivunje mbavu!! Eti, ukishachukua fomu yako ya kupigia kura unaweka vema kwenye kisanduku kilichoko chini ya mgombea, kwa mfano kama unampenda ............(yakamtaja mgombea wa CHADEMA), ikabidi Katibu wa ccm (w) aje juu kukemea kitendo hicho. Hiyo ilitoa picha kwamba mgombea wa CHADEMA alikuwa ndani ya mioyo ya wana-cc pia. Matokeo yake kweli jamaa alikuja kuchukua jimbo. Sasa kwa Mh. Lowassa magamba yamechanganyikiwa maana 3/4 ya maccm yako kwa Lowassa!!

Ila Mkwe.re inabidi tumchunge sana anaweza kutuingiza kwenye matatizo huyu mburura, nafikri wengi mmeisikia kauli aliyoitoa leo huku akiwa amekunja ndita usoni!!
 
Watanzania tunatakiwa tuwe na huruma, tumpumzishe huyu mzee gamba yeye anashindwa tu kusema ila yuko hoi kwelikweli miaka 50 na kitu si haba
 
Katika vijiwe kumi nilivyotembelea leo kuanzia Lumumba hadi Ofisi za NEC. Vijiwe nane vilikuwa vinamuongelea Lowassa wakati wanaCCM wako kwenye harakati za kuchukua fomu ya Urais. Vijiwe viwili ambavyo vilikuwa na wavaaji nguo za kijani, wengine boxers zao ni za C.C.M walijisahau na kujikuta wanaongelea Lowassa mazungumzo yao yote, vilevile walionyesha dhahiri pasipo shaka kukosa amani na raha kabisa kwa mamvi kubadili kambi.

Kwa hiyo basi kwa hali ya sasa ilivyo, ni vizuri UKAWA washughulike na hawa undecided voters, na wale wanaojifanya C.C.M damu, kumbe ndani ya mioyo yao, wako msibani wa kumpoteza Lowassa.

MKUU NA WADAU WENGINE NAOMBA MNIELEKEZE NAMNA YA KUANZISHA THREAD MPYA please!!!
 
Kama asilimia kubwa ya vijana ndo wapige kura wa leo. CCM subirini surprise
 
Back
Top Bottom