Tathimini: Uzinduzi wa Sera Mpya ya Taifa ya Ardhi na Dhamira ya Rais Samia

Tathimini: Uzinduzi wa Sera Mpya ya Taifa ya Ardhi na Dhamira ya Rais Samia

President of China

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Posts
31,548
Reaction score
89,516
Utangulizi
Mnamo Machi 17, 2025, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, alizindua Sera ya Taifa ya Ardhi ya Mwaka 1995, Toleo la 2023, katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Convention Center, jijini Dodoma. Uzinduzi huu unaashiria hatua muhimu katika historia ya usimamizi wa ardhi nchini, kwa lengo la kuimarisha mfumo wa upangaji, umiliki, na usimamizi wa ardhi kwa maendeleo endelevu ya taifa.

Soma zaidi hapa 👇 👇 👇 👇

View: https://x.com/NCHIYANGUT/status/1901640541323841742
 
Sasa ifuate sheria itakayompa Kamishna wa Ardhi mamlaka ya kufuta ugawaji wa ardhi wa vijiji unavuka mamlaka ya kisheria ya ekari 50. Kabla ya kugawa kwanza wapate go-ahead ya Kamishna Msaidizi.

Mtu kama Luhaga Mpina ametoa rushwa huko Morogoro akagawiwa ekari 1000. Ni vyema mamlaka ya karibu ya ardhi iwe na mamlaka ya kufuta umilikishaji wa aina hiyo
 
Back
Top Bottom