Tataka nikomae kwa hili????

Tataka nikomae kwa hili????

bidodo

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2013
Posts
217
Reaction score
90
Wanajamvi naombeni ushauri wenu

Rafiki zangu wengi tuliocheza pamoja ambao sote ni age 22 wengi wao washaolewa. Wengine wanawatoto wengine wameachwa mie bado nasoma. Sasa nimeamua nisome mpaka nifanikiwe na nipate kazi yangu ndipo akitokea mchumba nitakubali wakati nina kazi. Sasa rafki zangu wanasema utazeeeka usoolewa cuz tayari una 22 sasa unategemea kuolewa 28. Mii hata nikiolewa 30 niko tayari nataka tooo nisome nipate kazi. Sasa mnaonaje eti mtoto wa kike haipendezi kuolewa umri mkubwa??. Lakini nikiwaangalia ao waloolewa wamechoka sana wanategemea waume zao miii mtu wa haya sana kumtegemea mtu. Sasa ushauri wenu niolewe au niendeleee na masomo
 
We hapo ulipo ni mtu mzima una maamuzi yako, niolewe au niendeleee na masomo una maana sisi tukisema uolewe utaacha shule coz sisi tumesema? olewa mama.
 
Ndoa zenyewe za siku hizi usanii mtupu. Unaweza kuolewa na ndoa yako ikaota magugu hata kabla ya miaka mitano kukatika ukabaki unajuta.. Piga kitabu hata ukibahatika kuolewa na miaka 30 hakuna ubaya wowote maana katika umri huo bado una uwezo kabisa wa kujaliwa watoto kama wewe na mume mtarajiwa hamtakuwa na matatizo katika kuongeza familia yenu. Kila la heri.

Wanajamvi naombeni ushauri wenu

Rafiki zangu wengi tuliocheza pamoja ambao sote ni age 22 wengi wao washaolewa. Wengine wanawatoto wengine wameachwa mie bado nasoma. Sasa nimeamua nisome mpaka nifanikiwe na nipate kazi yangu ndipo akitokea mchumba nitakubali wakati nina kazi. Sasa rafki zangu wanasema utazeeeka usoolewa cuz tayari una 22 sasa unategemea kuolewa 28. Mii hata nikiolewa 30 niko tayari nataka tooo nisome nipate kazi. Sasa mnaonaje eti mtoto wa kike haipendezi kuolewa umri mkubwa??. Lakini nikiwaangalia ao waloolewa wamechoka sana wanategemea waume zao miii mtu wa haya sana kumtegemea mtu. Sasa ushauri wenu niolewe au niendeleee na masomo
 
Kwanza elewa hili, huhitaji kuwa na ndoa ili kuwa na furaha. Mtazamo wako juu ya mambo ndo utakaokufanya uwe na furaha ama la. Kwa miaka hii ya dot com, kuolewa na miaka 30 ni kawaida kabisaa. Kila la kheri na shule. Una akili sana wewe, kuolewa jobless is a big NO. Kwanza utamtesa mwanaume wa watu, manake 24/7 unamuwaza yeye? Its too crowding bana. Acha waolewe mbio, kwa sayansi na teknolojia hata ukiwa 50yrs old unaweza kuzaa.
 
Hivi watoto wengine sijui huwa hamna wazazi!!!
What a crappy mind!!
 
hivi hili ni suala la lako na familia.... ukiwa umeamua kusoma soma au achana na vyote ....
 
Wanajamvi naombeni ushauri
wenu

Rafiki zangu wengi tuliocheza pamoja ambao sote ni age 22 wengi wao
washaolewa. Wengine wanawatoto wengine wameachwa mie bado nasoma. Sasa
nimeamua nisome mpaka nifanikiwe na nipate kazi yangu ndipo akitokea
mchumba nitakubali wakati nina kazi. Sasa rafki zangu wanasema utazeeeka
usoolewa cuz tayari una 22 sasa unategemea kuolewa 28. Mii hata
nikiolewa 30 niko tayari nataka tooo nisome nipate kazi. Sasa mnaonaje
eti mtoto wa kike haipendezi kuolewa umri mkubwa??. Lakini nikiwaangalia
ao waloolewa wamechoka sana wanategemea waume zao miii mtu wa haya sana
kumtegemea mtu. Sasa ushauri wenu niolewe au niendeleee na
masomo

kama umefika chuo anza kuandaa mchumba pole pole, kwan wakat uwapo masomon ukisubilia uhitimu na bdae kaz utakuwa umepata muda mrefu wa kumchunguza huyo mme kitabia....tena naona ni mm, hebu dondoka kwangu.
 
Wanajamvi naombeni ushauri
wenu

Rafiki zangu wengi tuliocheza pamoja ambao sote ni age 22 wengi wao
washaolewa. Wengine wanawatoto wengine wameachwa mie bado nasoma. Sasa
nimeamua nisome mpaka nifanikiwe na nipate kazi yangu ndipo akitokea
mchumba nitakubali wakati nina kazi. Sasa rafki zangu wanasema utazeeeka
usoolewa cuz tayari una 22 sasa unategemea kuolewa 28. Mii hata
nikiolewa 30 niko tayari nataka tooo nisome nipate kazi. Sasa mnaonaje
eti mtoto wa kike haipendezi kuolewa umri mkubwa??. Lakini nikiwaangalia
ao waloolewa wamechoka sana wanategemea waume zao miii mtu wa haya sana
kumtegemea mtu. Sasa ushauri wenu niolewe au niendeleee na
masomo

afu jina lako limenikumbusha ile tamthilia ya kichina ilotafsiliwa kiswahili inayorushwa TBC1 kuna yule dada anaitwa dodo, dah napendaga misimamo yake, anamzingua tajiri wa watu kama hana akili nzuri.....yan kitu kinaahidiwa mazawadi, gud jobs, out za kutosha bt still kinamzimia mme wake camera man.....haya bidodo
 
Kwa iyo utakua unafanya bila kuolewa huku ikiendelea kuchakaa?
 
thank u for your advice BAK nitapiga kitabu mambo mazuri hayataki haraka
 
Last edited by a moderator:
Thank u i feel like u r by big sister cuz ata mama angu anasema mii nimeolewa 18 wewe unasubiri nini kwani huwezi olewa ukasoma. Mii sidhani ukiolewa kuna masomo iyo kwangu big No nitakomaaa na kitabu na sitohitaji mume mpaka nipate kazi.
 
unaweza ukawa unawazazi wakawa wana mawazo ya zamani watu8 seriously miii mama angu ananambia nimeolewa 18 sasa wewe 22 unasubiri nini sii uolewe and then utaendelea kusoma, u think that make sense sii wote walopata bahati ya wazazi smart lol
 
Last edited by a moderator:
Tafuta mume uolewe wewe bidodo..kakwambia nani ukiolewa elimu haipandi?
Kuna vitu ni 'time oriented'..na ndoa ikiwemo...i mean uki-mess up na muda kuvipata inakuwa shida...
Elimu haina mwisho..halaf usiwe unafanya comparison kwenye ubaya tu..kwani hujaona walioko kwenye ndoa wakiwa na furaha?...............
 
Last edited by a moderator:
unaweza ukawa unawazazi wakawa wana mawazo ya zamani watu8 seriously miii mama angu ananambia nimeolewa 18 sasa wewe 22 unasubiri nini sii uolewe and then utaendelea kusoma, u think that make sense sii wote walopata bahati ya wazazi smart lol
Pole mwaya
 
wano furaha ni wale waliokuwa hawana tegemezi kwa waume zao SnowBall
 
Last edited by a moderator:
Soma mamake elimu ndo mambo yote tena Nowdays wanaume hawataki wanawake tegemezi na pia ukija kuwa na chako huyo atakayekuja kuwa mume wako lazima atakuheshim asikwambie Mtu kinachozeesha kwa haraka katika maisha ni stress na c umri

Barikiwa sana.
 
Wanajamvi naombeni ushauri wenu

Rafiki zangu wengi tuliocheza pamoja ambao sote ni age 22 wengi wao washaolewa. Wengine wanawatoto wengine wameachwa mie bado nasoma. Sasa nimeamua nisome mpaka nifanikiwe na nipate kazi yangu ndipo akitokea mchumba nitakubali wakati nina kazi. Sasa rafki zangu wanasema utazeeeka usoolewa cuz tayari una 22 sasa unategemea kuolewa 28. Mii hata nikiolewa 30 niko tayari nataka tooo nisome nipate kazi. Sasa mnaonaje eti mtoto wa kike haipendezi kuolewa umri mkubwa??. Lakini nikiwaangalia ao waloolewa wamechoka sana wanategemea waume zao miii mtu wa haya sana kumtegemea mtu. Sasa ushauri wenu niolewe au niendeleee na masomo

Ukishamaliza kusoma na kupata kazi, nitafute nikuoe!!
 
miii si malaya wala muhuni KakaJambazi siwezi kufanya hicho kitendo kwanza ni thambi kubwa zinaaa mungu atanilinda au wewe nso mchezo wako ukadhania wengine la hasha mwana wa mwenzio najiheshimu
 
Last edited by a moderator:
Ndio hivyo,japo wapo walioolewa na bado wanasoma bado kusoma na uko kwenye ndoa ni tatizo coz huwezi kuacha kuwaza kuhusu watoto nyumbani mara leo umekosana na hus wako sijui jioni itakuwaje,kama hus ana wivu asikuone ulikuwa unadiscuss na mkaka kesi nyumbani,yaani ilimradi vurugu tupu,so ni vizuri ukasoma kwanza kwa uhuru wote then marriage baadae.
Thank u i feel like u r by big sister cuz ata mama angu anasema mii nimeolewa 18 wewe unasubiri nini kwani huwezi olewa ukasoma. Mii sidhani ukiolewa kuna masomo iyo kwangu big No nitakomaaa na kitabu na sitohitaji mume mpaka nipate kazi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom