Tataka nikomae kwa hili????

Tataka nikomae kwa hili????

Wapo but honestly speaking wachache sana esp kwa hiki kizazi chetu cha nyoka ie ni one out of a thousand.
Tafuta mume uolewe wewe bidodo..kakwambia nani ukiolewa elimu haipandi?
Kuna vitu ni 'time oriented'..na ndoa ikiwemo...i mean uki-mess up na muda kuvipata inakuwa shida...
Elimu haina mwisho..halaf usiwe unafanya comparison kwenye ubaya tu..kwani hujaona walioko kwenye ndoa wakiwa na furaha?...............
 
usiolewe kufuata mkumbo binti utaumia. endelea na mipango yako ya elimu/maisha. ndoa sio jambo la mzaha na kukurupuka kwa vile 'fulani kaolewa'.
 
soma bidodo mwaya... angalao umalize chuo kikuu. You can get marriage around 25-29 au hata hyo 30.

Mwombe Mungu akusaidie, usifuate mkumbo. Kuolewa kisa wenzio wanaolewa... la muhimu jitahidi kuwa na mahusiano yenye malengo.... ili Mungu akijalia kama mambo yataenda poa ukimaliza chuo matamanio yako yatimie. All the best
 
Last edited by a moderator:
Yeah ni valid and ni 100%,mi mwenyewe ni source karibia ndoa zote ninazozijua ni matatizo matupu,nikianza na rfiki yangu mwalimu,yeye hus wake ana smalll houses kama uyoga wa porini,the worst thing alienda sauzi rafiki yangu akiwa na mimba mpaka sa hivi ana mtoto wa miak miwili hus hajaonekana,anavyosurvive mpaka sasa inahuzunisha,ni mengi sana snowball nikisema niyadisplay yote hata we utaona uvivu kusoma.
Hii research ni valid?
Hebu nipe source..
 
Wanajamvi naombeni ushauri wenu

Rafiki zangu wengi tuliocheza pamoja ambao sote ni age 22 wengi wao washaolewa. Wengine wanawatoto wengine wameachwa mie bado nasoma. Sasa nimeamua nisome mpaka nifanikiwe na nipate kazi yangu ndipo akitokea mchumba nitakubali wakati nina kazi. Sasa rafki zangu wanasema utazeeeka usoolewa cuz tayari una 22 sasa unategemea kuolewa 28. Mii hata nikiolewa 30 niko tayari nataka tooo nisome nipate kazi. Sasa mnaonaje eti mtoto wa kike haipendezi kuolewa umri mkubwa??. Lakini nikiwaangalia ao waloolewa wamechoka sana wanategemea waume zao miii mtu wa haya sana kumtegemea mtu. Sasa ushauri wenu niolewe au niendeleee na masomo

Mi nakuahidi hili, soma ukifika miaka 30 uje uni pm nikuoe. Achana na hao wapotoshaji!
 
Wanajamvi naombeni ushauri wenu

Rafiki zangu wengi tuliocheza pamoja ambao sote ni age 22 wengi wao washaolewa. Wengine wanawatoto wengine wameachwa mie bado nasoma. Sasa nimeamua nisome mpaka nifanikiwe na nipate kazi yangu ndipo akitokea mchumba nitakubali wakati nina kazi. Sasa rafki zangu wanasema utazeeeka usoolewa cuz tayari una 22 sasa unategemea kuolewa 28. Mii hata nikiolewa 30 niko tayari nataka tooo nisome nipate kazi. Sasa mnaonaje eti mtoto wa kike haipendezi kuolewa umri mkubwa??. Lakini nikiwaangalia ao waloolewa wamechoka sana wanategemea waume zao miii mtu wa haya sana kumtegemea mtu. Sasa ushauri wenu niolewe au niendeleee na masomo
sikia sasa ukivuka miaka 25 bado hujaolewa tambua tatizo limeshaanza kukua..haalafu inabidi ujue kusoma sio kwamba lazima utakuja kupata kazi waweza soma na kazi usipate so chamsingi ni kujipanga uende navyo hivyo vitu sambamba...sawa sawa...
 
Okay...but mbona mimi nina mifano kibao tu ya ndoa zinazofanya vizuri
Karibu marafiki zangu wengi they are happily married....and still enjoy the benefits of marriage..
Kwa upande wangu ndoa zenye matatizo ni kama asilimia 5 ya ndoa zote ninazozifahamu
Nadhani tunaishi different world....

Yeah ni valid and ni 100%,mi mwenyewe ni source karibia ndoa zote ninazozijua ni matatizo matupu,nikianza na rfiki yangu mwalimu,yeye hus wake ana smalll houses kama uyoga wa porini,the worst thing alienda sauzi rafiki yangu akiwa na mimba mpaka sa hivi ana mtoto wa miak miwili hus hajaonekana,anavyosurvive mpaka sasa inahuzunisha,ni mengi sana snowball nikisema niyadisplay yote hata we utaona uvivu kusoma.
 
Yeah! perhaps and i think you are lucky to witness good things in marriage coz to me mpaka sa hivi nahisi nimeathirika kisaikolojia kwani kila nionapo msafara wa harusi huwa najisemea hawa watu wanasheherekea matatizo!so sad.
Okay...but mbona mimi nina mifano kibao tu ya ndoa zinazofanya vizuri
Karibu marafiki zangu wengi they are happily married....and still enjoy the benefits of marriage..
Kwa upande wangu ndoa zenye matatizo ni kama asilimia 5 ya ndoa zote ninazozifahamu
Nadhani tunaishi different world....
 
Soma ushauri wa King'asti na uuelewe, maana utakusaidia

unaweza ukawa unawazazi wakawa wana mawazo ya zamani watu8 seriously miii mama angu ananambia nimeolewa 18 sasa wewe 22 unasubiri nini sii uolewe and then utaendelea kusoma, u think that make sense sii wote walopata bahati ya wazazi smart lol
 
Last edited by a moderator:
endelea na masomo hilo ndo la msingi uje upate na ww chakwako..
 
show me your friends and i will tell you what kinda person you are!
Unayosema yanakureflect wewe. There is too much negativity around marriages!
Okay...but mbona mimi nina mifano kibao tu ya ndoa zinazofanya vizuri
Karibu marafiki zangu wengi they are happily married....and still enjoy the benefits of marriage..
Kwa upande wangu ndoa zenye matatizo ni kama asilimia 5 ya ndoa zote ninazozifahamu
Nadhani tunaishi different world....

Ndoa katika umri mdogo ni chanzo cha mateso yenye mwisho mgumu sana. nashangaa mamake anajionea sawa tu!:shut-mouth:
Soma ushauri wa King'asti na uuelewe, maana utakusaidia
 
Haya mambo hayana formula unaweza ukasoma ukawa na kazi yako ukapata ndoa na ikaenda mrama kikubwa ni kusali sana fuata ndoto zako utaonyeshwa njia niliolewa same age na ya kwako nakubali nilikuwa naive lakini mengi inategemea na aina ya mume uliyenaye na nina mifano ya ndoa zaidi ya tatu ya rafiki zangu walinishangaa wakati naolewa walikuja kuolewa age ya 28,29mpaka 30 na ndoa ziliota mbawa ndani ya mwaka miaka 2 inategemea USIISHI KWA FORMULA ZA WENGINE JIFUNZE KUTOKA KWAO TENGENEZA YA KWAKO UTAKUWA HAPPY NA MAAMUZI YAKO KILA LA HERI.
 
olewa tu mama kwa 22 yrs old kuja kufikia 35-40,utakua umeonja chungu ya ndoa mama full kuchokana hasa hawa Dot com couples harusi leo haipiti mwezi wameachana hapo ndipo matatizo yanapoanzia."you hold a piece of gold on ur hand,it's ur choice to sell it to get rich or to throw it away"
 
Soma upate kazi yako mume utapata tu.ukiwa hakuna kazi na umeolewa utashikashika Mavi halafu ule pale sweetie na darling zitakapoisha ila ukiwa na kazi yako utakosa penzi la mume ila matumizi hayatasumbua.baada ya muda penzi hawa linarudi kuwa tamu kuliko mwanao.
 
Kwanza elewa hili, huhitaji kuwa na ndoa ili kuwa na furaha. Mtazamo wako juu ya mambo ndo utakaokufanya uwe na furaha ama la. Kwa miaka hii ya dot com, kuolewa na miaka 30 ni kawaida kabisaa. Kila la kheri na shule. Una akili sana wewe, kuolewa jobless is a big NO. Kwanza utamtesa mwanaume wa watu, manake 24/7 unamuwaza yeye? Its too crowding bana. Acha waolewe mbio, kwa sayansi na teknolojia hata ukiwa 50yrs old unaweza kuzaa.



Hapo King'asti kwenye big NO umekosea. Kusoma ni jambo moja na kupata kazi ni jambo jingine kabisa, anaweza akasoma akamaliza lakini asipate kazi for 5 yrs in maana asiolewe? Vijana wanateseka mtaani aisee. Kuolewa/ Kuoa bila kazi inategemea tu maelewano yenu, jinsi mnavyoheshimiana na uwezo wa mmoja wenu ku-handle familia kwa mda fulani wakati mwingine akiendelea kuhangaika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom