Tasnia ya Bongo Movie inafeli wapi?

Tasnia ya Bongo Movie inafeli wapi?

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
33,661
Reaction score
97,354
Wakuu habari.

Kila siku uwa najiuliza, mbona hii sekta ya Bongo movie haikui kabisa? Yaani miaka nenda rudi ipo palepale?

Mfano, angalia muvi za Shumileta au Nsyuka za horror miaka ile na angalia za recently, tofauti ni ndogo sana.

Niliangalia movie za wenzetu za mwaka 1950 bado acting yao hatuwezi ifananisha na yetu wakati kuna tofauti zaidi ya miaka 70.

Zamani nilidhani tatizo ni technology kwamba yetu ndogo, ila nimegundua sio issue iyo tu. Camera wanazo nzuri tu, na vifaa vingine vipo vizuri tu.

Mimi naona tatizo kubwa hapa ni wasanii wenyewe kutokua serious, wengine kulazimisha vipaji, elimu za wale walio nyuma ya camera (camera man, producers, na crew members wengine) maana hawa nao wana play role kubwa sana.

Ushauri badala ya kuoneshana Instagram kwamba wana maisha mazuri, wangejitahidi kupata elimu kusomea vitu kama u-producer, u-director, etc ata kwenda nchi za jirani kuchukua course.

Tasnia ya muziki Tanzania inaenda vizuri sana na we’re proud of that ila movie, dah!, tunadorora sana.
 
Waigizaji hemed na Mlela waramba midomo. Wakianza kuongea you know you know kibao, Unategemea nini?

Wale waliogiza Siri ya Mtungi ndio nilionaga wengi wao ni waigizaji.

Maigizo ya series kidogo uwa wanajitahidi, ila movie hapana kabisa.

Utakuta kwanza movie nzima imeigiziwa ndani, nje ni scenes chache sana (hapa nilipewa sababu ya jamaa flani, alisema kucontrol sauti nje kazi sana, upepo, makelele ya nje, etc sauti zitakua hazisikiki, wenzetu ulaya au kwenye matangazo mafupi ata hapa Bongo wanafanyaga kitu inaitwa Audio Automated Dialog Replacement, au Dubbing, unakuta wanaigiza nje ila sauti zinasikika vizuriii, tatizo TZ dah wana haraka, movie inaanza kushutia January ikifika may ipo sokoni
 
Mtu unakuta muongozaji yeye,
Mtunga story yeye.
Muiguzaji yeye.
Kila kitu yeye, then utegemee movie itoke ya kueleweka?
Wenzetu director anaweza kaa miaka hadi mitano then akija kutoa anatoa dude na linaandaliwa miezi 6 hadi mwaka watu wanaipika tu movie.

Hadi aibu kuangalia.
 
Ni fursa lkn mkuu, inapaswa kuitumua kama una uwezo andaa mkakati utapiga bao kwenye hiyo sector. uwe na mtaji na maarifa uzuri ukitaka kujifunza technolojia iko wazi

Uchumi tu kaka. Ila ukiwa vizuri, unakuja unapiga hela sana tu.
 
Watu wameipa jina eti Bongo Mavi wabongo bhana...!
 
Back
Top Bottom