TASAF walamba TZS383bn

TASAF walamba TZS383bn

Hua nikisikiaga mambo yanayohusu tasaf hua naskia kulia ama kinyaa...kutamka hayo mabilioni raha sana ...ila nasema leo hakuna watu watakufa vifo vibaya kama wanaofanya kazi tasaf ...
Kaya maskin hizo unakuta kaya Moja unawapa laki 1 ama elfu 30 kwa mwaka sjui ..Sasa ikifika wakat hela zimetoka mtu alifanyiwa tathmini apewe 40,000/- , siku ya malipo na Hali yake ngumu Anatoka Kijijini mbali kabisa anakuja mjini benki kuchukua just elfu 40 , ajabu unakuta Kuna elfu 20 tu, wamepiga panga 20, Sasa wangap wanafanyiwa hivyo ..hii nchi Kuna watu watakufa midomo wazi
DAAH MZEE UNAGWA LAANA BALAAA
 
Back
Top Bottom