TASAF walamba TZS383bn

TASAF walamba TZS383bn

Ivi si wafanye research waone kama hizi hela zina Tija.
Sasa kumpa mtu mwenye watoto 6 elf 70 kwa mwez inasaidia nini.
Izo hela si bora wajenge barabara
Hizo hela zinaliwa na hao hao viongozi wanaozitoa fatilia utajua Mimi nimewahi kula hizo hela bila kujua kuwa ni za Tasaf
 
TZS383bn za Rais Samia zatunisha mfuko TASAF

Rais Samia ameongeza kiwango cha fedha kwa ajili ya kunusuru kaya masikini kutoka TZS580.2bn mwaka 2020 hadi TZS962bn mwaka 2024 ikiwa ni ruzuku ikilenga kuongeza kipato cha kaya masikini ili ziweze kumudu gharama za maisha na mahitaji ya msingi. Kupitia Mpango huu wa kunusuru Kaya Masikini (TASAF) idadi ya wanafuika imeongezeka kutoka 5,000,000 hadi 5,202,655 mwaka 2024 sawa na ongezeko la wanufaika wapya 202,655

HATIMAYE WASIOJIWEZA WALAMBA TZS383BN ZA SAMIA
Kila Kona mama anatikisa
 
Tzs383billion za serikali au za Samia? Ina maana mama ametoa pesa zake mfukoni au ni za serikali zinazotokana na kodi yetu??????
 
Hivi hizo barabara zinazonjengwa hata kabla ya ukoloni Hadi Sasa na haziishi ni za za aina Gani?
 
TZS383bn za Rais Samia zatunisha mfuko TASAF

Rais Samia ameongeza kiwango cha fedha kwa ajili ya kunusuru kaya masikini kutoka TZS580.2bn mwaka 2020 hadi TZS962bn mwaka 2024 ikiwa ni ruzuku ikilenga kuongeza kipato cha kaya masikini ili ziweze kumudu gharama za maisha na mahitaji ya msingi. Kupitia Mpango huu wa kunusuru Kaya Masikini (TASAF) idadi ya wanafuika imeongezeka kutoka 5,000,000 hadi 5,202,655 mwaka 2024 sawa na ongezeko la wanufaika wapya 202,655

HATIMAYE WASIOJIWEZA WALAMBA TZS383BN ZA SAMIA
Masikini ili wapate hizo hela ni lazima wawe na kadi ya ccm
 
TZS383bn za Rais Samia zatunisha mfuko TASAF

Rais Samia ameongeza kiwango cha fedha kwa ajili ya kunusuru kaya masikini kutoka TZS580.2bn mwaka 2020 hadi TZS962bn mwaka 2024 ikiwa ni ruzuku ikilenga kuongeza kipato cha kaya masikini ili ziweze kumudu gharama za maisha na mahitaji ya msingi. Kupitia Mpango huu wa kunusuru Kaya Masikini (TASAF) idadi ya wanafuika imeongezeka kutoka 5,000,000 hadi 5,202,655 mwaka 2024 sawa na ongezeko la wanufaika wapya 202,655

HATIMAYE WASIOJIWEZA WALAMBA TZS383BN ZA SAMIA
kazi nzuri
 
HONGERA ZAO
 
Hizi hela wanufaika ni watu wengine na sio hao masikini .

Kuna mwenyekiti wa mtaa alikuwa anakula 600K na hakuwa masikini so haya mambo ni ya kijinga nakutumia hela with no reason

Bora wangesema wanatoa bima za Afya bure kwa watu masikini na wanawapa Bima ya chakula
si kweli
 
TZS383bn za Rais Samia zatunisha mfuko TASAF

Rais Samia ameongeza kiwango cha fedha kwa ajili ya kunusuru kaya masikini kutoka TZS580.2bn mwaka 2020 hadi TZS962bn mwaka 2024 ikiwa ni ruzuku ikilenga kuongeza kipato cha kaya masikini ili ziweze kumudu gharama za maisha na mahitaji ya msingi. Kupitia Mpango huu wa kunusuru Kaya Masikini (TASAF) idadi ya wanafuika imeongezeka kutoka 5,000,000 hadi 5,202,655 mwaka 2024 sawa na ongezeko la wanufaika wapya 202,655

HATIMAYE WASIOJIWEZA WALAMBA TZS383BN ZA SAMIA
Safi sana hata hivyo
 
Haya ndiyo mambo matatu makubwa aliyoyafanya Rais Samia:

  1. Kufungua Tanzania Kimataifa – Ameimarisha diplomasia ya kiuchumi na kuvutia uwekezaji mkubwa kutoka ndani na nje ya nchi, akifanya Tanzania kuwa kitovu cha kibiashara na maendeleo kikanda.
  2. Kuimarisha Uchumi na Miundombinu – Ameendeleza miradi mikubwa ya kimkakati kama reli ya kisasa (SGR), bwawa la Julius Nyerere, na upanuzi wa bandari na viwanja vya ndege, hatua ambazo zimeongeza ajira na kuchochea uchumi.
  3. Kuboresha Huduma za Jamii – Amewekeza sana kwenye elimu bila ada, afya kwa kuongeza vituo na huduma za kisasa, pamoja na maji safi na nishati vijijini, hivyo kuboresha maisha ya wananchi moja kwa moja.
 
Deni la taifa linaonyesha Kila mtanzania anadaiwa million 8 umefikia wapi kulipa deni lako?
madeni lazima yawepo ata marekani ana madeni mengi bila ivo kodi ipandishwe labda
 
TZS383bn za Rais Samia? Kwamba Samia ana kitenga uchumi ambacho kinampa hizi pesa? Amezitolea hizi pesa wapi? Au ndio Pesa za wananchi zimeshakuwa zake? Samia hana uwezo wa kuzalisha bilioni 383! Hizi ni fedha za wananchi sio Samia.
 
Km namuona mzee fulani, atakavyomalizia ile mansion yake,
Na wale mapacha wa mchepuko awapeleke huko 🇮🇳 wakasome Udaktari.

Watu wanakula pesaa bhanaa. Lol
Nilitaka kuandika ila umeniwakilisha
 
Back
Top Bottom