hip hop uchwara
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 5,227
- 3,145
Nyakati za jiwe kwenye mambo ya pesa kila kitu kilikuwa mswanu
Usenge usenge tuJe zinawafikia walengwa inavyotakiwa?
WasengeNikitia neno hapo nitakula ban sitaki kujivunjia record niipendayo
duhTZS383bn za Rais Samia zatunisha mfuko TASAF
Rais Samia ameongeza kiwango cha fedha kwa ajili ya kunusuru kaya masikini kutoka TZS580.2bn mwaka 2020 hadi TZS962bn mwaka 2024 ikiwa ni ruzuku ikilenga kuongeza kipato cha kaya masikini ili ziweze kumudu gharama za maisha na mahitaji ya msingi. Kupitia Mpango huu wa kunusuru Kaya Masikini (TASAF) idadi ya wanafuika imeongezeka kutoka 5,000,000 hadi 5,202,655 mwaka 2024 sawa na ongezeko la wanufaika wapya 202,655
HATIMAYE WASIOJIWEZA WALAMBA TZS383BN ZA SAMIA
IZO HELA WANACHEZEA SANA MAANA WATENDAJI WA VIJIJI NA KATA WANAZIPIGA BALAA NILIKUWA KATA FULANI YAANI SIKU YA TASAF NI SIKU YA FURAHA KWA WATENDAJI WA KATA NA VIJIJI HAWAKOSI OFISINITZS383bn za Rais Samia zatunisha mfuko TASAF
Rais Samia ameongeza kiwango cha fedha kwa ajili ya kunusuru kaya masikini kutoka TZS580.2bn mwaka 2020 hadi TZS962bn mwaka 2024 ikiwa ni ruzuku ikilenga kuongeza kipato cha kaya masikini ili ziweze kumudu gharama za maisha na mahitaji ya msingi. Kupitia Mpango huu wa kunusuru Kaya Masikini (TASAF) idadi ya wanafuika imeongezeka kutoka 5,000,000 hadi 5,202,655 mwaka 2024 sawa na ongezeko la wanufaika wapya 202,655
HATIMAYE WASIOJIWEZA WALAMBA TZS383BN ZA SAMIA
Wasenge si hawafuatiliiWengine wanasomesha watoto wao nje huko.
laana hizoWengine wanasomesha watoto wao nje huko.
Deni la mama.Deni la taifa linaonyesha Kila mtanzania anadaiwa million 8 umefikia wapi kulipa deni lako?
Kitendo chako cha kunyamazia mahovu hayo haliyakuwa unayaona, wewe ni miongoni mwa wanufaika wa mahovu pia, kwa lugha rahisi wewe ni muhujumu uchumi aise.watu wanajipigia tu imagine kuna mwamba kajenga hadi gest kupitia pesa za walala hoi
none of ma businessKitendo chako cha kunyamazia mahovu hayo haliyakuwa unayaona, wewe ni miongoni mwa wanufaika wa mahovu pia, kwa lugha rahisi wewe ni muhujumu uchumi aise.
Ni ugonjwa wa Taifa unaoanzia ngazi za chini hadi juu. (Ukosefu wa Uzalendo)none of ma business
Ni wapi huko?Ufuatiliaji na uwajibikaji sifuri.
Zinaliwa na wenye dhiki ya Mbwa.
Mimi hapewiCOMMENTS FUPI FU[I KWA KUZINGATIA MAMA YAKO PIA ANAPEWA
Wapi?Hii hela inatafunwa sana
Huko kwenuWapi?
Huku hakuna hiyo ndg yanguHuko kwenu