TARURA mkoa ARUSHA tunaomba ufafanuzi juu ya hili

ARUSHA01

Member
Jan 24, 2011
19
1
Juzi jumamosi nilkuwa nimepaki gari hospitali ya mkoa sehemu husika pale nje
Wakati natoka nikakuta nimewekewa chuma na agent wa Tarura (Ngare) kwa madai gari inadondosha maji ya AC na fine ni shilingi 60,000 ,I was shocked on this, kwa ufahamu wangu nilidhani ni mafuta (diesel+oil) wao wana claim oil ni 300,000 na maji 60,000
Baada ya kubishana kidogo tukaenda Temesa nikalipa
Nachotaka ni ufafanuzi tu je tofauti kati ya maji ya AC na maji mengine esp.mvua
Samahani kwa uandishi+kuchanganya lugha
 
Wase.nge hao. Juzi niliwawashia moto dunia haijawai kutoke.

Tairi yangu ilipata pancha, nikapiga Jeki nikawa nabadiri. Sijui walitokea wapi eti wanasema nimepiga jeki kwenye Lami Bila kuweka Kibao.

Wakachukua Gari wakapeleka Yard hapo Tamesa, Niliwawashia moto mbona walielewa nikachukua Gari yangu Bure.
 
We jamaa unavunja sheria halafu unaleta ubabe, ningekuwa mimi ningekuweka selo hta siku mbili ili utie akili.
 
Wase.nge hao. Juzi niliwawashia moto dunia haijawai kutoke.

Tairi yangu ilipata pancha, nikapiga Jeki nikawa nabadiri. Sijui walitokea wapi eti wanasema nimepiga jeki kwenye Lami Bila kuweka Kibao.

Wakachukua Gari wakapeleka Yard hapo Tamesa, Niliwawashia moto mbona walielewa nikachukua Gari yangu Bure.
Uliwaelekza vipi mpaka wakakupatia gari.
 
Back
Top Bottom