ARUSHA01
Member
- Jan 24, 2011
- 19
- 1
Juzi jumamosi nilkuwa nimepaki gari hospitali ya mkoa sehemu husika pale nje
Wakati natoka nikakuta nimewekewa chuma na agent wa Tarura (Ngare) kwa madai gari inadondosha maji ya AC na fine ni shilingi 60,000 ,I was shocked on this, kwa ufahamu wangu nilidhani ni mafuta (diesel+oil) wao wana claim oil ni 300,000 na maji 60,000
Baada ya kubishana kidogo tukaenda Temesa nikalipa
Nachotaka ni ufafanuzi tu je tofauti kati ya maji ya AC na maji mengine esp.mvua
Samahani kwa uandishi+kuchanganya lugha