antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 49,665
- 130,536
Hahaha,Kuanzia sasa ni mkurya
Ingekuwa raia wote ni kama hao jamaa, saa hii wahuni wote wangeshakubali yaishe
Hahaha,Kuanzia sasa ni mkurya
Kwa upande wangu sipendi tufike huko. Maana tutauana watanzania na tunachogombea ni kitu kimoja japo hatuelewani lugha kwasababu za kimasilahi.acha uwoga wewe kaa mbele risasi kitu gani, tunaishi mara moja
Hilo ni kundi moja.sasa mbona niwachache
kama unayajua hayo why uhamasishemaandamanoKwa upande wangu sipendi tufike huko. Maana tutauana watanzania na tunachogombea ni kitu kimoja japo hatuelewani lugha kwasababu za kimasilahi.
Sote lengo letu ni kulijenga taifa letu angalau watoto na wajukuu wetu waje wafurahie mema ya baba zao
Mambo kama yameanza kunoga hivi! Huko Tarime watu wanapia tizi la nguvu kuelekea Oktoba 29. Leo wameanza kumtaka Heche achiliwe uhuru.
Polisi na vyombo vya ulinzi na usalama salamu ziwafike sasa!
================
Muda huu Tarime wananchi wanaandamana wakitaka John Heche aachiliwe huru na watu waliotekwa waachiliwe huru
Bado upo Dubai na Abduli au msharejea TanganyikaVipi ameachiliwa?
Wapi nimehamasisha maandamano?kama unayajua hayo why uhamasishemaandamano
hujielewiiiiWapi nimehamasisha maandamano?
Wewe ndo hujielewi. Wapi nimehamasisha hayo maandamano?hujielewiiii
Tarime ndiyo kawaida yao, ndiyo maana kunaitwa kanda maalum. Vichwa vimepinda tangu wakiwa matumboni mwa mama zao. Bangi wanavuta kuanzia watoto wa nurseryMambo kama yameanza kunoga hivi! Huko Tarime watu wanapia tizi la nguvu kuelekea Oktoba 29. Leo wameanza kumtaka Heche achiliwe uhuru.
Polisi na vyombo vya ulinzi na usalama salamu ziwafike sasa!
================
Muda huu Tarime wananchi wanaandamana wakitaka John Heche aachiliwe huru na watu waliotekwa waachiliwe huru
Kumeanza kuchangamkaMambo kama yameanza kunoga hivi! Huko Tarime watu wanapia tizi la nguvu kuelekea Oktoba 29. Leo wameanza kumtaka Heche achiliwe uhuru.
Polisi na vyombo vya ulinzi na usalama salamu ziwafike sasa!
================
Muda huu Tarime wananchi wanaandamana wakitaka John Heche aachiliwe huru na watu waliotekwa waachiliwe huru
Wameshiba ugali haoMambo kama yameanza kunoga hivi! Huko Tarime watu wanapia tizi la nguvu kuelekea Oktoba 29. Leo wameanza kumtaka Heche achiliwe uhuru.
Polisi na vyombo vya ulinzi na usalama salamu ziwafike sasa!
================
Muda huu Tarime wananchi wanaandamana wakitaka John Heche aachiliwe huru na watu waliotekwa waachiliwe huru
Sio Nyani Ngabu tu hata mie ila mie siwadharau Bali najua sie ugomvi sio tamaduni zetuNyani Ngabu uko wapi? Unadharaugi sana Watanzania