immortanity
JF-Expert Member
- Nov 8, 2024
- 859
- 1,583
kwamba dodoma hakuna wakazi wakutosha kufanya ivyo??Hawa wote wangesogea Dodoma kwenda kumtoa Heche huko. Kikiwaka Dodoma ngoma imeisha
kwamba dodoma hakuna wakazi wakutosha kufanya ivyo??Hawa wote wangesogea Dodoma kwenda kumtoa Heche huko. Kikiwaka Dodoma ngoma imeisha
Kwanini usianze kuandamana leo unajificha kwenye kichaka cha tarehe 29 ukifikiri ni mbali sana ? Bado siku 1 tutakuona ukiendelea kupiga mikwara mtandaoniTuliwaambia na bado subiri kivumbi Cha tarehe 29
Wamekua wachache sanaNadhani hawa jamaa wa Mara wanaonyesha njia vizuri sana.
Ukimuona na nani? wewe tembea na Kimbo na Mafuta ya Korie yatakusaidia usiumieKwanini usianze kuandamana leo unajificha kwenye kichaka cha tarehe 29 ukifikiri ni mbali sana ? Bado siku 1 tutakuona ukiendelea kupiga mikwara mtandaoni
Machale yaliwacheza PoliCCM wakaacha kumpeleka Tarime. Otherwise, wangeona kivumbi. Hiyo ndiyo Kanda Maalumu ya kweli.Hawa wote wangesogea Dodoma kwenda kumtoa Heche huko. Kikiwaka Dodoma ngoma imeisha
Heche alitakiwa apelekwe tarime sio Dodoma au unasemaje wewe mlugalugaKwanini usianze kuandamana leo unajificha kwenye kichaka cha tarehe 29 ukifikiri ni mbali sana ? Bado siku 1 tutakuona ukiendelea kupiga mikwara mtandaoni
Ntatembea nayo ili nikupake wakati nakushonaUkimuona na nani? wewe tembea na Kimbo na Mafuta ya Korie yatakusaidia usiumie
Nyani lazima azarau binadamuNyani Ngabu uko wapi? Unadharaugi sana Watanzania
Ukimsoma nyani hua hawadharau ila anaamsha hasira zetu kwa kutuponda....Ww hujakaa na waswahili ukajuaNyani Ngabu uko wapi? Unadharaugi sana Watanzania
mimi mwenyewe ndo nachukua panga hapa nikaliunge tera! #octber tunakiwasha. #WAKURYA HATUNA BAYA! Bye guys sema kama mvua inazingua maana inatishia kunyesha ila hivyohivyo tutaenda!Sasa wanaume wa Tarime na mikoa ya jirani sogeeni barabarani muongeze nguvu
Tembea na Kimbo itakusaidiaNtatembea nayo ili nikupake wakati nakushona
Wanaanzaga hivyo wengine wanaunga.sasa mbona niwachache
So wewe yako inakwambia kuwa huwa wanaanza watu million moja?sasa mbona niwachache
mbona unawahi kuomba polis wasitumie nguvu vipi unaogopa risasi mkuuWanaanzaga hivyo wengine wanaunga.
Sishauri polisi watumie nguvu as long as wanafanya jogging wakichoka wataenda kulala
Siogopi risasi ila kuua mtu ambaye hana siraha haileti afya. Hiyo ni moja kati ya njia za kusemea mihemko yao.mbona unawahi kuomba polis wasitumie nguvu vipi unaogopa risasi mkuu
acha uwoga wewe kaa mbele risasi kitu gani, tunaishi mara mojaSiogopi risasi ila kuua mtu ambaye hana siraha haileti afya. Hiyo ni moja kati ya njia za kusemea mihemko yao.
Kama hao waandamanaji wakiamua kufa, basi watakufa na polisi. Kitu ambacho sitaki kitokee.
Tutatishana na kuumizana ila kama moto utawaka nchi nzima, haitakua historia nzuri kwa taifa letu