Tarimba Abbas: Wabunge tumepitisha Tozo Wananchi wakatuzomea sana na Tozo hizo zimeenda kuliwa kwenye Halmashauri!

Mkuu Countrywide salam kwako.
Kwani Mh. Tarimba "amesema" kanukuu madai yake toka report ya "mamlaka" gani? Mkuu COUNTRY naomba usome tena maswali yangu chokonozi. Naomba mkuu Countrywide nikusalimu tena.

Ahsante
Ukisema pesa iliyoletwa kujenga madarasa imeliwa tafsiri yake umesoma kutoka kwa CAG?
Nakutolea mfano; Mama Samia mwaka huu mwezi wa pili aliwaondoa wakurugenzi wanne kwa kula pesa za madarasa ya uviko yalioanza kujengwa mwaka jana mwezi wa 11. Unataka kusema nae alipitia report ya CAG?

Si kila ubadhirifu unasubiri report ya CAG
 
Back
Top Bottom