Tetesi: Tarimba aangukia pua Kinondoni!

Status
Not open for further replies.
Mbunge Mstaafu Wa K'ndoni ameangukia pua. Baada ya kuwa namba 3. Asubirie huruma Kamati Kuu kupitia Mwenyekiti wa Mtandao hatari

1. Nyamwija
2. Idd Azzan,
3. Tarimba A. aka ......
Malipo ni hapahapa Duniani!
 
Mbunge Mstaafu Wa K'ndoni ameangukia pua. Baada ya kuwa namba 3. Asubirie huruma Kamati Kuu kupitia Mwenyekiti wa Mtandao hatari

1. Nyamwija
2. Idd Azzan,
3. Tarimba A. aka ......
Safi sana mzee wa dona na sembe
 
Machawa hadi ndani ya chama wanatemwa na wajumbe!!
 
Mbunge Mstaafu Wa K'ndoni ameangukia pua. Baada ya kuwa namba 3. Asubirie huruma Kamati Kuu kupitia Mwenyekiti wa Mtandao hatari

1. Nyamwija
2. Idd Azzan,
3. Tarimba A. aka ......
Mama Abdul ameshindwa kumsaidia na kumtetea kote kule Abdul?
Ukweli ni kwamba sasa hivi ukijifanya uko karibu na Samia watu wanakupiga za uso
 
Mhhhh BADO usishangae akarudishwa Hawa jama huwa hawataki WATU wenye akili. Wale madiwani walikua WAMESHA PIGWA chini SI warirudishwa TENA MPAKA WATU kuandamana..

Kwishaaaaaaaa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…