Jamani mm kijana nwenzenu nataka mtoto ila wife mzunguko wake unachanganya kiasi sijui ipi siku ya hatari mzunguko wake uwa unakuwa mrefu mpaka siku 34 mpaka miezi miwili sometime na uwa inabadilika kila mwezi kila nikimsoma nashindwa wenye kujua nisaidieni nataka na mm niitwe baba jamani
Siku za hatari inakuwa ni siku ya 13(kuanzia siku anayopata period) hadi siku ya 17, au unaweza kuhesabu kwa kurudi nyuma,
Ile siku anayopata period basi ifanye ndo yakwanza then jana yake ifanye ya pili, juzi yake ifanye ya tatu, endelea ivo ivo mpaka zifike siku 15. Hiyo ya 15 ndo ya hatari
Chàkufanya ,,kwanza mkeo ni Muasirika wa madawa yakuzuia utungaji mimba, hilo 1, pili anatakiwa akasafishe kizazi, nakupumzika asitumie tena hayo madawa ,kisha kampime kama kizazi bado kizima au laah, màji upokee wewe mwenyewe mambo mengine baadaye.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.