Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

Mkuu Mr. Kiroboto,

Naomba nitoe mifano hai kwa faida ya dada zetu na wengine:

1. Kama mwanamke ana menstration cycle ya siku 22 inabidi afanye kama ifuatavo: Kwanza itabidi atengeneze kalenda yake mwenyewe ya siku zake zote za menstration cycle kama hapa chini:..
Aisee kipindi cha JF kwenye maarifa mengi zaidi ya mizaha ya sasa
 
we jidai eti unajua mahesabu utabeba mimba mno!

hakuna mwanamke mzunguko wake unatulia kwa miezi kadhaa kwamba tarehe yake ni ile ile ile bila kubadilika tusidanganyane.

dawa : kama hutaki mimba uhakika ni kumuambia shemeji awe anamwaga nje hio ndio dawa .

we jifanye kujijesabisha vi'siku utakwama.
 
Back
Top Bottom