Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

d9509a1fad50d6ab6f7c52e1c043bb48.jpg
soma hapo
 
Naomba radhi kwa kutumia neno x maana ya ngu nimpenzi wangu nilihitani kufahamu mengi zaidi kupitia maelezo niliyoandika chochote kinacho muhusu yeye nqmi nahusika
 
ww suala la x wako kupata ujauzito linakuhusu nn na mlisha achana.au unataka kumkomoa acha upuuuzi dogo
 
Hello, mimi huwa nakaa sana vijiweni saa zangu za mapumziko baada ya kazi, na mara nyingi huwa naongea issues nyingi sana na washikaji. Na kama kuna issue ambayo nimeona imeleta ubishani sana, huwa nakuja kuileta huku.

Tulikuwa tukijadili jambo moja hivi, kwaba, ni lini mwamke anaweza akapata mimba? Mimi kwa uelewa wangu niliwaambia ni siku ya kumi na tatu au kumi na nne after menstrocycle. Wengi walibisha, pamoja na kwamba hizo ndo prabable days za ku conceive. Wengi wanasema hata siku nyingine zinaweza, ila mimi kulingana na uelewa wangu, nilikuwa naelewa hivyo kwasababu watoto niliopata sijui kama nilifanya hizo siku au la, nilikuwa nadukua tu mara kwa mara mwezi mzima.

Walinibana swali moja kwamba, unaanza kuhesabu lini, yaani utaanzia siku gani kuhesabu hadi zifikie siku hizo hapo juu, unaanza kuhesabu siku ya kwanza ya bleed ndo siku ya kwanza au siku ya mwisho wa bleed ndo siku unayoanza kuhesabu? Mimi niliwaambia ni siku ya kwanza unapoanza kubleed.

Naomba kama kuna madaktari humu watoe elimu hapa kwasababu najua watu wengi wataelimika hapa, na wengi wanaweza kuepuka hata mimba zisizo na malengo.
Mke wangu amekua na Menstruation cycle ya siku 30,lakini mwezi uliopita imebadilika imekua 42days na abnormal bleeding...hapa nitaweza kuhesabu tena,naomba ushauri...
 
alie ongea hapo juu kwamba sijui asinywe peps au sprite ...sio vzr kama hujui usichangie maada...
nakushauri ...hesabu siku 5 za yeye kwenda health...then sikusaba baada ya health..ambazo ni salama. hapo tena siku 7mpaka nane kama yupo tu vzr katika siku 7hizo lazima apate mimba aki share sex...kama huto jali call 0755229028
 
alie ongea hapo juu kwamba sijui asinywe peps au sprite ...sio vzr kama hujui usichangie maada...
nakushauri ...hesabu siku 5 za yeye kwenda health...then sikusaba baada ya health..ambazo ni salama. hapo tena siku 7mpaka nane kama yupo tu vzr katika siku 7hizo lazima apate mimba aki share sex...kama huto jali call 0755229028

Kwenda Health!??? Mkuu, na wewe ni Doctor kweli ama ni yule sijui wanamuita Doctor Manyaunyau!??
 
HESABU KUANZIA SIKU AMEANZA BLEED NA SIO TAREHE ZA MWEZI YAANI MFANO AMEANZA MWEZI WA PILI 18 BAS ANZA KUHESABU SIKU HIYO YA TAREHE 18 KAMA KAPICHA KANAVOSEMA APO NMEKUWEKEA
@MD/MLT
 

Attachments

  • 1487369215552.jpg
    1487369215552.jpg
    17.2 KB · Views: 110
Back
Top Bottom