Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,711
- 8,764
Sheria ya ndoa ya JMT kuna ndoa za aina 3 zinazotambulika,nazo ni za Kidini,Serikali na kimila,masuala ya kuonekana nadhini sijui nini kwangu hayana nafasi,nataka kila mmoja aendelee na ustaarabu wa imani yakekwa nini umefikilia kufunga ndoa ya kiserikali na si ya dini?
Dini zenu tofauti sawa,kwanini mmoja wenu asibadili, miaka 8 ni mingi umezini imetosha sasa au unataka kuendelea kuwa mzinifu?
Sawa mkuu.Sheria ya ndoa ya JMT kuna ndoa za aina 3 zinazotambulika,nazo ni za Kidini,Serikali na kimila,masuala ya kuonekana nadhini sijui nini kwangu hayana nafasi,nataka kila mmoja aendelee na ustaarabu wa imani yake
Ukifunga ndoa ya kiserikali halafu ukaishi na mkeo unakuwa unazini nae?kwa nini umefikilia kufunga ndoa ya kiserikali na si ya dini?
Dini zenu tofauti sawa,kwanini mmoja wenu asibadili, miaka 8 ni mingi umezini imetosha sasa au unataka kuendelea kuwa mzinifu?
Ndio nadhani unakuwa unazini,kwa sababu wote hao wana imani na dini ingekuwa hawana dini na imani (wapagani) basi wasingekuwa wanazini.Ukifunga ndoa ya kiserikali halafu ukaishi na mkeo unakuwa unazini nae?
Unadhani au ni uhakika ipo hivyo?Ndio nadhani unakuwa unazini,kwa sababu wote hao wana imani na dini ingekuwa hawana dini na imani (wapagani) basi wasingekuwa wanazini.
Tafuta ukweli,lakini wewe izo mambo hazina nafasi kwako kwa hiyo ni bure ata ukihoji,Unadhani au ni uhakika ipo hivyo?
Mkuu unajibu kwa speed hadi unasahau huyo sio mtoa madaTafuta ukweli,lakini wewe izo mambo hazina nafasi kwako kwa hiyo ni bure ata ukihoji,
Nenda kwenye kujakwaa la sheria utakutana na watalaamu wa sheria utapewa taratibu za kufata kwa ajili kukamilisha mipango ya ndoa yako.
Ahsante kila la kheri. [emoji120][emoji120][emoji120]
Mambo mengi kichwa kimoja Alafu nayeye atakuwa mhusika wa hiyo hali kwa hiyo nimemjibu kama ametolewa mada.Mkuu unajibu kwa speed hadi unasahau huyo sio mtoa mada
mkuu unajua maana ya kuzini?kwa nini umefikilia kufunga ndoa ya kiserikali na si ya dini?
Dini zenu tofauti sawa,kwanini mmoja wenu asibadili, miaka 8 ni mingi umezini imetosha sasa au unataka kuendelea kuwa mzinifu?
Kuna maana zaidi ya 1?mkuu unajua maana ya kuzini?
ambaye hayuko kwenye ndoa hajazini kakaKuna maana zaidi ya 1?
Kumbuka umesema wewe ni muislamu na unataka uendelee kubakia na uislamu ndomana jamaa akakushauri kihivyo (kiislamu)Sheria ya ndoa ya JMT kuna ndoa za aina 3 zinazotambulika,nazo ni za Kidini,Serikali na kimila,masuala ya kuonekana nadhini sijui nini kwangu hayana nafasi,nataka kila mmoja aendelee na ustaarabu wa imani yake
Kaka nimeipata concept yako,ambaye hayuko kwenye ndoa hajazini kaka
naomba tuishie hapa๐๐ maana na wewe unataka kunikamata ktk site yako mkuu๐๐พKaka nimeipata concept yako,
Unamaanisha walio bado kuoa huwa hawazini?
Lakini walio kwenye ndoa tu ndio wanazini?
Si ndio ulivyo maanisha?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mambo mengi kichwa kimoja Alafu nayeye atakuwa mhusika wa hiyo hali kwa hiyo nimemjibu kama ametolewa mada.
Sawa mkuu ๐๐๐naomba tuishie hapa๐๐ maana na wewe unataka kunikamata ktk site yako mkuu๐๐พ