Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 28,750
- 91,839
Nmechekaaa sana ... Embu baadae tutafutane kule kwetu
Nmechekaaa sana ... Embu baadae tutafutane kule kwetu
Mfyuuuu😂😂kilichokuchekesha??Nmechekaaa sana ... Embu baadae tutafutane kule kwetu
Nilikua natafuta kuona kama kuna mtu kashtukia huu mchezoHuu uzi ni utapeli mpya tuwe makini waungwana.
Uwezo wako wakupangilia maneno kiasi cha mtu kucheka...Mfyuuuukilichokuchekesha??


Mkuu! Earphones hujarudisha bado na hii unataka umlambe?tumia namba hii ya Airtel kutuma iyo pesa,0689981802,jina litakuja ZABRON MTAFYA
Hiyo sms nimetumiwa usiwe NegativeMkuu! Earphones hujarudisha bado na hii unataka umlambe?
Nyoo😜Uwezo wako wakupangilia maneno kiasi cha mtu kucheka...
Uje unichekeshe basi![]()

watz bhana sijui tunakwama wapi
Kila kitu ukikiona mtandaoni kama kina husu pesa na wewe hujaelewa dhumuni lake basi unasema ni mtego wa wizi..haya endelea na mentality zako. mimi sijakaribisha mtu yoyote PM hata akija sijui lolote kuhusu uyo tapeli ishu ni kama yupo alie fanya ayo manyanga i hope atakua anamjua mhanga wake uzi ume mlenga uyo alie fanya aende kumsaidia hali isha kua tete sasa wizi apo ukwapi?Nilikua natafuta kuona kama kuna mtu kashtukia huu mchezo
Wewe ume copy na ku paste. Ile number pale kwenye story haijawekwa bahati mbaya.watz bhana sijui tunakwama wapiKila kitu ukikiona mtandaoni kama kina husu pesa na wewe hujaelewa dhumuni lake basi unasema ni mtego wa wizi..haya endelea na mentality zako. mimi sijakaribisha mtu yoyote PM hata akija sijui lolote kuhusu uyo tapeli ishu ni kama yupo alie fanya ayo manyanga i hope atakua anamjua mhanga wake uzi ume mlenga uyo alie fanya aende kumsaidia hali isha kua tete sasa wizi apo ukwapi?
Fikiria unavyofikiria,Kwani unataka kusema lengo lake haswa ni nini?
Kwan kaomba mumchangie pesa?
Ukome kabisa mm mmojawapo ulinitapeli, kama unataka kupona nirudishie hela yangu, nadhani unsikumbuka namba hii 0715274727Wale matapeli mje mjifunze kwa mwenzenu yamemkuta ya kumkuta na wewe ulie fanya hii msaidie mwenzio acha roho mbaya..
Za mwizi ni 40 hatimayeView attachment 1217126



cheee!!!
kama unamapenzi mema na tapeli wako mtafute apo mkuu namba zake zipo mmalizane ila msaidie aise yupo tayari kukufidia na samsung juuUkome kabisa mm mmojawapo ulinitapeli, kama unataka kupona nirudishie hela yangu, nadhani unsikumbuka namba hii 0715274727