sawima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 5,750
- 8,942
Hahaha sangoma anajifanyia promo.
Huu uzi ni utapeli mpya tuwe makini waungwana.
Huu uzi ni utapeli mpya tuwe makini waungwana.
Usishangae huo ujumbe wenyewe ndiyo ukawa na lengo la kutapeli watu.Wale matapeli mje mjifunze kwa mwenzenu yamemkuta ya kumkuta na wewe ulie fanya hii msaidie mwenzio acha roho mbaya..[emoji23][emoji23]
Za mwizi ni 40 hatimayeView attachment 1217126
🤣 🤣 wewe upo ziwa nyasaMwambie bado kushushwa busha,.kila kiungo chake cha mwili kitajaa maji awe kama ziwa nyasa,.
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]Mwambie bado kushushwa busha,.kila kiungo chake cha mwili kitajaa maji awe kama ziwa nyasa,.
Sipendi ujinga mimi kabisaaa,.jero langu lipotee hivihivi aasuubutuuu,.[emoji23][emoji23]ni wewe umefanya mambo nn mkuu
Ukisikia kenge kaingia mkenge ndio iyo sasaHuu uzi ni utapeli mpya tuwe makini waungwana.
Huyu ni mganga wa kienyeji feki naye anataka kudaka wajinga wajinga wataokaoingia penati boksi yake..Huu uzi ni utapeli mpya tuwe makini waungwana.
Dah! Nimecheka sana, lakini yatupasa tusamehe saba mara sabini ujue Mother Confessor?Mwambie bado kushushwa busha,.kila kiungo chake cha mwili kitajaa maji awe kama ziwa nyasa,.
Aaaii knoooww Sez but this is too much,acha amwagike kwanza lolDah! Nimecheka sana, lakini yatupasa tusamehe saba mara sabini ujue Mother Confessor?
Ili iwe mfano kwa wengine eeh?🤣🤣🤣Aaaii knoooww Sez but this is too much,acha amwagike kwanza lol
Oh yeess,.😂😂Ili iwe mfano kwa wengine eeh?🤣🤣🤣