Tapeli anayewaliza wengi kwamba anatibu Ukimwi akamatwe

waziri2020

Senior Member
May 31, 2019
190
451
Tunaomba Mamlaka zinazoshughulika na masuala ya Tiba asili mshughulike na huyu jamaa anayejiita Dk Maiko anasema kazi zake na Ofisi ziko jijini Dar.

Huyu kijana amekuwa akijitambulisha sehemu mbalimbali kwamba Anatibu Ukimwi kwa sh elfu 30 tu na anatapeli pesa za watu maeneo mbalimbali watu wanalia na sasa amekimbilia Dar. Tunaomba mamlaka husika zimsake na kumfanyia UOA hizo kama kweli ana Vivaldi na anatibu Ukimwi kwa sh elfu 30 tu maana huyu anawaliza wengi Sanawari .

Polisi ,Takukuru, Mamlaka ya Tiba Asilia na vyombo mbalimbali kazi kwenye.

Hapa chini ni ujumbe ambao amekuwa akiwatumia watu kupitia Miranda Otto mbalimbali ya kijamii.πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Dokta maiko niko dar es salam natibu magonjwa yalioshindikana nakutangazia kwamba kuna watu wamepona ukimwi kupitia dawa zangu karibuni sana ugonjwa wa ukimwi unatibika dozi niyasiku 30

D110FBA1-B0CE-4066-8591-AEAB18215B3D.jpeg
D7CA86CC-2BE0-4E78-B070-41F187F98642.jpeg
 
Tunaomba Mamlaka zinazoshughulika na masuala ya Tiba asili mshughulike na huyu jamaa anayejiita Dk Maiko anasema kazi zake na Ofisi ziko jijini Dar.

Huyu kijana amekuwa akijitambulisha sehemu mbalimbali kwamba Anatibu Ukikwi kwa sh elfu 30 tu na anatpeli pesa za watu maeneo mbalimbali watu wanalia na sasa amekimbilia Dar tunaomba mamlaka husika zimsake na kumfanyia UOA hizo kama kweli ana Vivaldi na anatibu Ukimwi kwa sh elfu 30 tu maana huyu anawaliza wengi sanawari .

Polisi ,Takukuru,Mamlaka ya Tiba Asilia na vyombo mbalimbali kazi kwenye.

Hapa chini ni ujumbe ambao amekuwa akiwatumia watu kupitia Miranda Otto mbalimbali ya kijamii.πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Dokta maiko niko dar es salam natibu magonjwa yalioshindikana nakutangazia kwamba kuna watu wamepona ukimwi kupitia dawa zangu karibuni sana ugonjwa wa ukimwi unatibika dozi niyasiku 30
Alikuwapo yule wa nyungu na mikaratusi, si atauliza mbona wa nyungu hakuchukuliwa hatua?
 
Wakukamatwa wa kwanza ni hao waliotapeliwa.awana akili hata za kuvukia barabara.
 
Matapeli wengi sana awamu ya sita wamerudi.walikimbia wakati wa Magu.
 
Kwani Babu wa Loliondo alikamatwa? akina Mwamposa wanaojidai kutibu Kansa na UKIMWI amekamatwa? Yule Gwajima wa kufufua misukule feki amekamatwa?

Ndugu yangu unaishi nchi gani? Achana nae tu, atawaibia wajinga na kuwaua watakoacha kutumia ARVs.
πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“Œ
 
Wajinga ndio waliao.
Asante dkt. Michael.
Sahau hatokamatwa, Babu wa Loliondo yupo jela ipi?
Na wewe kachukua 30,000 yako?
Pole🀣
 
Tunaomba Mamlaka zinazoshughulika na masuala ya Tiba asili mshughulike na huyu jamaa anayejiita Dk Maiko anasema kazi zake na Ofisi ziko jijini Dar.

Huyu kijana amekuwa akijitambulisha sehemu mbalimbali kwamba Anatibu Ukikwi kwa sh elfu 30 tu na anatpeli pesa za watu maeneo mbalimbali watu wanalia na sasa amekimbilia Dar tunaomba mamlaka husika zimsake na kumfanyia UOA hizo kama kweli ana Vivaldi na anatibu Ukimwi kwa sh elfu 30 tu maana huyu anawaliza wengi sanawari .

Polisi ,Takukuru,Mamlaka ya Tiba Asilia na vyombo mbalimbali kazi kwenye.

Hapa chini ni ujumbe ambao amekuwa akiwatumia watu kupitia Miranda Otto mbalimbali ya kijamii.πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Dokta maiko niko dar es salam natibu magonjwa yalioshindikana nakutangazia kwamba kuna watu wamepona ukimwi kupitia dawa zangu karibuni sana ugonjwa wa ukimwi unatibika dozi niyasiku 30
Na wale kina ''dr'' Mwaka bado wapo? Hawa wote ni matapeli.
 
Matapeli wamekuwa wengi sana, juzi siku ya ijumaa mida ya saa saba mchana, Kuna jamaa nilipishana naye maeneo ya kitumbini mjini.

Akauliza saizi saa ngapi, nikatoa simu mfukoni bila kujua kuwa ni tapeli nikamwambia ni saa Saba na dakika ishirini, akanambia hebu kwanza nione, eti nimpe simu ahakikishe, kengele za hatari zikalia ,nikaondoka haraka,
Akanitukana Kisha akapanda pikipiki yake na kutokomea
 
Tunaomba Mamlaka zinazoshughulika na masuala ya Tiba asili mshughulike na huyu jamaa anayejiita Dk Maiko anasema kazi zake na Ofisi ziko jijini Dar.

Huyu kijana amekuwa akijitambulisha sehemu mbalimbali kwamba Anatibu Ukikwi kwa sh elfu 30 tu na anatpeli pesa za watu maeneo mbalimbali watu wanalia na sasa amekimbilia Dar tunaomba mamlaka husika zimsake na kumfanyia UOA hizo kama kweli ana Vivaldi na anatibu Ukimwi kwa sh elfu 30 tu maana huyu anawaliza wengi sanawari .

Polisi ,Takukuru,Mamlaka ya Tiba Asilia na vyombo mbalimbali kazi kwenye.

Hapa chini ni ujumbe ambao amekuwa akiwatumia watu kupitia Miranda Otto mbalimbali ya kijamii.

Dokta maiko niko dar es salam natibu magonjwa yalioshindikana nakutangazia kwamba kuna watu wamepona ukimwi kupitia dawa zangu karibuni sana ugonjwa wa ukimwi unatibika dozi niyasiku 30
Nami natibu ukimwi njooni mnikamate! Majitu yanaambiwa ukimwi hauna dawa wanywe ARV yanaona wanasayansi waongo yanaenda kwenye ugoro

Acha waliwe wajinga hao na huyo Dr apongezwe maana atafumbua wengine wasiache ARV.
 
Back
Top Bottom