Safi sana, jitu lolote jinga ni halali kutapeliwa maana mnapenda vitu vyepesi badala ya kuwaza mambo ya maana, hongera zake huyo muuza CD kwa kutafuna pesa ya mjinga.
Kiingiacho mjini si haramu na pia katika dunia hii, wajinga ndio waliwao.
Kwani mkuu hukujiuliza kwa nini asiuze hizo CD huko kwao Kenya? Kwa sababu kila taifa linajua ukitaka faida ya haraka nenda kwa watu wa Tanzania utafanikiwa wao ni rahisi kudanganyika ni sawa na kushuka kwenye mlima kwa baiskeli hakuna kunyonga pedal....
Mkuu toka lini umeanza kufuatilia mambo ya imani? Unabii umenifunulia kuwa una miaka mingi sana hujakanyaga kanisani. Kama si mke na wanao hata jumuiya ingekuwa imeshakutenga.Si hivo mkuu, ni kwamba anajitia kama mtu wa mungu na kuonya mtendo maovu kwa hivo kama hupendi uovu ni rahisi kunaswa. huwa sinaswi hovyo lakini saari hii nimekuwa ndege mjanja nikanaswa kwenye tundu bovu. nimeaandika haya kuwafanya wengine wasinaswe kama mimi. watu kama hawa wanawafanya watu wazuri wanaosema maneno ya mungu wasisikilizwe.
mzamifu yani umelenga....
mimi na ujanja wangu wote nimetapeliwa na huyu baba, nilinunua cd 2 kufika home kuweka hamna kitu, nikabadilisha hata deki wapi..
kuna baba mwingine jirani yangu ni mstaarabu sana na mtu wa Mungu tulikuwa tunaongelea mambo ya imani akagusia hizo cd alizonunua kumbe na yeye hazikucheza.
kwa kweli ni taadhali watu muwe makini na huyu mbaba mkenya, yuko na wadada wawili na mbaba mwingine..
haya mambo ya freemason yatatupeleka pabaya, kuna watu wamegeuza story za freemason kuwa ndo njia ya kujipatia kipato.
Mkuu toka lini umeanza kufuatilia mambo ya imani? Unabii umenifunulia kuwa una miaka mingi sana hujakanyaga kanisani. Kama si mke na wanao hata jumuiya ingekuwa imeshakutenga.
Unabisha?