Njemba Soro.
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 3,246
- 5,757
yule demu aliyesababisha huyu jamaa kujiua anaendeleaje???
Si ajabu anaendelea kunenepayule demu aliyesababisha huyu jamaa kujiua anaendeleaje???
Kifo kinaogopesha Sana. Fanya vilivyo ndani ya uwezo wako kuepuka kifo.Ni muda mrefu kidogo ila kifo ni kigumu na hakizoeleki.
Going too soon son, Rest Easy.
RIP Yona. Ni moja ya watu watata sana kupata kuzaliwa duniani. He liked unhealthy competitions. Kwa mfano, ili kuzuia nguvu ya JF alianzisha kitu kinaitwa wanabidii. Kikafa juu kwa juu. Pengine ujuaji ulikuwa hata kwenye ndoa ndio maana partner akaamua kufanya yaliyo ndani ya uhuru wake. Simuhukumu, ila tunavuna tunayopanda.Ni muda mrefu kidogo ila kifo ni kigumu na hakizoeleki.
Going too soon son, Rest Easy.
2018 tulishangaa kwann umemuacha huyo mama J lakin tumeona juzi alijirekod video ya pilauHapo ndo huwa najisifu kumuacha mama J mapema vinginevyo hata mie ningeji-kill tu.
Mkuu huyu jamaa nilikua simuelewi.. Ingawa alionekana kama mtaalamu sana wa mambo ya mitandao. Hivi ni kweli alikua mtu wa "system"RIP Yona. Ni moja ya watu watata sana kupata kuzaliwa duniani. He liked unhealthy competitions. Kwa mfano, ili kuzuia nguvu ya JF alianzisha kitu kinaitwa wanabidii. Kikafa juu kwa juu. Pengine ujuaji ulikuwa hata kwenye ndoa ndio maana partner akaamua kufanya yaliyo ndani ya uhuru wake. Simuhukumu, ila tunavuna tunayopanda.
Rest Easy Brother...wewe mbele sisi nyuma yako. Just to inform you, wanabidii nayo imekufa maana haikuwa na strong roots
Mama J huyu huyu?😂Hapo ndo huwa najisifu kumuacha mama J mapema vinginevyo hata mie ningeji-kill tu.
Mkuu huyu jamaa nilikua simuelewi.. Ingawa alionekana kama mtaalamu sana wa mambo ya mitandao. Hivi ni kweli alikua mtu wa "system"
Who are u man!?nimefuatlia sana michango yako hapa jukwaan but they r too contradictive thoughtfullyAlikuwa mwanafunzi wangu ..kwa bahati mbaya he was the best person but not the right one..after psych analysis on him nikajiridhisha hawez kukontrol hasira...na pia uoga (cant resist interrogation)... etc..
Poleni sana wafiwa..
Asee demu gani huyo mkuuuyule demu aliyesababisha huyu jamaa kujiua anaendeleaje???
Emoji ya kucheka kwenye Tanzia.😂😂😂😂😂 Daah kumbe jamaa aligongewa aseew