Tanzia ya Dkt. Dau kwa rafiki yake hayati Benjamin William Mkapa

Nani anataka kukumbushwa misafara yenu na Rais Mkapa kwenda Geneva kutoa mada kuhusu ajira za utotoni???

Hao watoto wanaoajiriwa wako Geneva ???

Halafu NSSF na PPF ni mifuko ya ajira za watu wazima, sasa hizo mada za watoto zinawahusu nini kama sio kwenda kutumbua kodi za jasho la masikini??

Halafu umesema aliyeitwa kusoma mada ni Rais Mkapa. Nyinyi msururu wa vigogo wengine mlienda kumshikia maiki ?????

Rais Magufuli muda huu amesimamisha gari Kibiti akitoka kumzika Mkapa, ameamuru wanananchi eneo la Soko Kuu Kibiti kutumia choo cha nyumbani kwa DC na Mkurugenzi wa Wilaya kwa siku saba wakati wilaya inajenga choo.

Wewe unatueleza habari ya ulikutana na Rais kwa mara ya kwanza Geneva, mkiwa mmeambatana na viongozi kibao ambao walitakiwa kuwa bongo wanajenga vyoo, visima na kuzibua mitaro! Hatutaki kusikia ya Geneva.

Obviously mnakumbuka Mkapa (Kikwete pia) kwa sababu ndio walikuwa wanalea uozo na wizi huo

Usitutibue please, kwa kutukumbusha shenanigans za serikali zenu zile. You should be in jail right now, for all the swindles and scandals you occasioned at NSSF
 
Nitolee roho mbaya yako hapa. Post yangu ya kwanza uliyo_quote mwisho kabisa nimeuliza " Je, wakati wa Daktari Dau, uajiri hauku_favor dini yake!? Hapo ni wapi nimetoa hukumu kuwa alipendelea dini yake!?
Swala wanalopaswa kujiuliza waunga mkono wa dhana ya Dr Dau ya uhusiano wa kuteuliwa kwake na dini + itikadi yake. Je, kabla yake Hakuna waislam waliowahi kuteuliwa kwenye nafasi za ukurugenzi mkuu wa Taasisi za kiserikali?
 
Hapa nilicho gundua ni akili kubwa ya Mh hayati Mkapa ya kumwini Dau. Itakuwa aligundua yule ambaye kura zake hazikutosha pale Dodoma anashikiwa akili na Dau. Dau ni mdini, wale wa niwa dini yetu na hilo halifichi hata kwenye hili andiko lake.

Sasa Mkapa akataka amlete awe upande wake na itakuwa amefanikiwa kumleta yule anaye mshikia akili. Basi ndio akafanikiwa mpaka kaenda kaburini akiwa kamtia Dau mfukoni. Kwenye kokolo hilo la Mh hayati Mkapa ndio wa kawepo wadini wengine kama huyu aliye mshauri/kusaidiana na Dau kuandika huu waraka.
 
Dau hawezi kuwa “rafiki“yake Mkapa, ni kijana wake.
Umri wa Dau haumruhusu kuwa "rafiki" yake Mkapa, bali kijana wake.
 
Mnajifanya hamna lakini kwenye mioyo yenu udini umetalamaki sanaaa na viongozi ndio wanaoueneza wacheni unafiki
Andiko zuri japo lina Element za udini. Anyway, Wakristo wengi huwa hatuna udini na hatuwabagui watu kwa misingi ya dini yao.
 
Ni lazima mseme eti udini Muislamu akisema mdini hizo aya za biblia zinazotolewa kwenye mikutano ya kitaifa, waislamu hawasemi lakini wangekuwa wao wanatoa aya za Qurani. Pangekalika? Kmmzenu
Andiko zuri japo lina Element za udini. Anyway, Wakristo wengi huwa hatuna udini na hatuwabagui watu kwa misingi ya dini yao.
 
Bro umenena, hawa wanafiki sana akisema Muislamu ni mdini wao kwenye mikutano na kutoa aya za biblia see tunawaono ni unafiki ndio tunanyamaza, haya siku Muislamu atoe ya qurani ndio shida zitaanza. Wanafiki sana hawa
Udini wa Dau au Mkapa?

Maana Dau anaeleza alivyopigwa majungu na wadini lakini Mkapa akasimama nae

Au ulitamani Mkapa ateue Mkiristo NSSF badala ya Dr Dau?
 
Mkapa alikuwa mzee sana,lakini ukimuangalia alionekana kama ana miaka 60.
Mambo yetu watu tunaojua kuichuja Scotch Whisky kwa viwango vya afya na kuisindikizia kwa chakula kizuri.

Jokes aside.

Mtu akiwa anapata huduma zote za taifa lazima atakate tu.

Wewe huoni hata Magufuli kabadilika sana tangu aingie kuwa rais?
 
Ni lazima mseme eti udini Muislamu akisema mdini hizo aya za biblia zinazotolewa kwenye mikutano ya kitaifa, waislamu hawasemi lakini wangekuwa wao wanatoa aya za Qurani. Pangekalika? Kmmzenu
Acheni kulialia. Kwa nini mnapenda kulialia Kama watoto wa kambo? Ninyi mnaona kila kitu mnastahili ninyi tuu. Na ukipewa/kukosa nafasi fulani unahisi ni kwa sababu ya kigezo Cha dini. Mnafanyiana vitu vibaya, lawama mnazihamisha kwa Wakristo. Wakati serikali zote mbili, ya JMT na SMZ, zikiongozwa na maraisi Waislamu, tulishuhudia mashehe wakikamtwa Zanzibar na kuhamishiwa kwenye magereza za bara ambamo wamekaa kwa muda Sasa bila kesi yao kusikilizwa, Lawama mnazipeleka kwa Rais Magufuli et kwa kuwa n Mkristo. Wakati wa JK, sheikh Ponda alikuwa anashinda Central tofauti na Sasa ilihali mlikuwa mnaongozwa na muislam. Ndg zangu waislam, ishini kwa kuzingatia sheria, taratibu, haki na wajibu wenu katika taifa, mtaishi kwa furaha.
 
Mfumo Catholic ndio unaongoza hii nchi hatulii tunayoyashuhudia ndio tunayoyasema na ndio ukweli. Hata Mandela alipoanza kulalamikia makaburu na siasa zao, majibu yao yanafanana na yanayosemwa
 

Wana haki ya kulalamika maana wao ndo walipigania uhuru wa nchi kwa wingi zaidi wakati kanisa wakati huo likiwakatazeni kujihusisha na harakati za kumpinga mkoloni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…