Tanzia ya Dkt. Dau kwa rafiki yake hayati Benjamin William Mkapa

Hizi Sifa zote za Dkt. Dau alikuwa anasubiri Kwanza Rais Mstaafu Mkapa arudishe Namba yake Mbinguni ndipo aje atudanganye na ajifarague hivi?

Mkuu:
Wasifu wa mtu una andikwa au kusomwa pindi jambo lolote linapo tokea ikiwa ni pamoja na hili la Ta-azia.
 
Hata huyu wa sasa kashaandikiwa waraka na Wakatoliki wenzake. Hapo hauna hoja.
 
Mkuu:
Wasifu wa mtu una andikwa au kusomwa pindi jambo lolote linapo tokea ikiwa ni pamoja na hili la Ta-azia.

Mimi nakitafsiri hiki Kitendo kuwa ni ' Unafiki ' wa ' Mswahili ' tena uliopitiliza. Nipe Kongole zangu nikiwa Hai nizisikie ukinipa nikiwa Mfu nitazisikia?
 
Yeye hakuwa na uwezo wa kumpa Uwaziri kwenye awamu ya tatu? Mbona hakuwa Waziri awamu ya 4 pamoja na mapendekezo ya Mkapa?
Sijui kichwani alikuwa anawaza nini, ni kama labda alikuwa anaona aendelee kupata exposure n.k lakini sifahamu kwa nini alisema hayo
 
Hakuna mwenye ubavu wa kumfunga Dr Dau kama kulikosekana wa kumfunga Kangi ndio atapatikana wa kumfunga Dau kweli?
Sikiliza ndugu siongei kishabiki, walikuwa wanampelekea Jela na kumfilisi hata yeye anajua hilo na anajua kuwa Mkapa ndio kamkingia kifua. Walishachukua ghorofa lake moja
 
Mimi nakitafsiri hiki Kitendo kuwa ni ' Unafiki ' wa ' Mswahili ' tena uliopitiliza. Nipe Kongole zangu nikiwa Hai nizisikie ukinipa nikiwa Mfu nitazisikia?

Mkuu:
Ni vyema ungetofautisha kati ya wasifu na kongole na mahali panapo stahili kutumika.
 
Sikiliza ndugu siongei kishabiki, walikuwa wanampelekea Jela na kumfilisi hata yeye anajua hilo na anajua kuwa Mkapa ndio kamkingia kifua. Walishachukua ghorofa lake moja

Mkapa alikuwa anampenda Dau kuliko Mramba au Daniel Yona?
Mbona Mbona Mkapa hakuzuia Mramba wala Yona kwenda Jela
Dau hakuwa na hatia, angekuwa na Hatia Magufuli asingempa ubalozi.
Magufuli anaweza kumpa ubalozi fisadi?
 
Tatizo ni ubishi akiamini kitu aambiliki tena
 
Mkapa alikuwa anampenda Dau kuliko Mramba au Daniel Yona?
Mbona Mbona Mkapa hakuzuia Mramba wala Yona kwenda Jela
Dau hakuwa na hatia, angekuwa na Hatia Magufuli asingempa ubalozi.
Magufuli anaweza kumpa ubalozi fisadi?
Tulia soma vizuri alichondika Dr Dau kisha unisome vizuri, alishamtetea huko kabla, so anajua kabisa kwa undani. Kufungwa kufilisiwa hakuhitaji uwe na makosa nadhani unaelewa, hata kumtoa hapo NSSF ilikuwa fitna zile alizokataa Mkapa ndio zikamtoa. Kwanini hakuwatetea Mramba na Yona na kamtetea Dr jibu sijui, wala siwezi kumjibia. Sijui unachobishia wewe nini ndugu yangu.
 
Kama bendera Ile ya CUF ya wakati huo ingekuwa bado ipo nyumbani kwa mzee wako naamini leo usingekuwa balozi.Mkapa alikuwa msomi,apumzike kwa amani
 
Dau hivi mshampatia card ya ACT?
 
Hizi habari z OiC ndio takataka gani? Hv watanzania tunafikiri kwa makalio au nini? Udini udini kila wakati. Hii nchi haitakaa kuwa ya waislam kamwe mpaka mwisho wa ulimwengu.
 
Sikiliza ndugu siongei kishabiki, walikuwa wanampelekea Jela na kumfilisi hata yeye anajua hilo na anajua kuwa Mkapa ndio kamkingia kifua. Walishachukua ghorofa lake moja
Mzee baba lichukuliwe ghorofa ujue wewe media zote zisiandike? Unajua Dr Dau ni balozi wa nchi 7? Kama mmemshindwa kangi lugola sidhani kama mtamuweza Dau, hivi unahisi Dr Dau na kangi nani anawafuasi wengi nyuma yake?
 
Mzee umeelewa kweli ulichokiandika?
Point yake naona imeegemea kwenye asilimia. Mfano shirika lina wafanyakazi A 300 na wafanyakazi B 100, baada ya utawala wa jamaa mwenye nasaba na B, wafanyakazi A wakawa 400 na wale B wakawa 350, hapa utaona wameajiri A 100 ,na wale B wameajiriwa 250.

Hapa utaona ingawa wale A bado wao ndio wengi lakini uwiano wa kuajiri umeegemea zaidi kwa wale B. Uwiano wa A:B ni 100:250 yaani katika kila watu A 10 waliojiriwa watu B ni 25.

Kwa hiyo je, ni kweli wakati wa Daktari Dau, uajiri hauku_favour upande wa dini yake zaidi!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…