TANZIA: Wakili Stanry Julius na wenzake wafariki kwa ajali ya moto Iringa

Status
Not open for further replies.
Hao wenzake wawili usikute nawajua pia. Dah inauma kijana mchanga katutoka.
Alikuwa na ndugu tu zake,kwenye picha hapo ni mdogo ake wanalikuwa wanatoka kilombero kidatu kumzika mama hao,hapo walikuwa wanaenda malizia msiba kijijini kwa mama hao manda huko
FB_IMG_1558703180694.jpeg
 
Hii ajari nimeangalia clip zinazotembea mitandaoni.. Nilichogundua ni kwamba hizi smatphone zinapumbaza sana akili nimeona wakati gali inaanza kuwaka moto watu wanarecord na michina yao tu mpaka gari nzima inateketea hakuna aliyesogea kutoa msaada ..

R I P

If thats true its sad and disgusting.
 
Ushirikina huu... Wapumzike kwa amani....

Iko hivi kama walikuwa wanasafiri kikazi ina maana walikuwa wanaenda kwenye kesi na kesi ina pande mbili mshtaki na mshtakiwa... Kama yeye kwenye hiyo kesi alikuwa anaonekana kikwazo.... Ni lazima itafutwe namna kikwazo kiondolewe watu wapite wapete
Dhana ya pili kama walitoka walikotoka kikazi na wakawa wameshinda na kulipwa basi upande ulioshindwa unaweza kutafuta namna ya kulipa kisasi
Na uhalisi wa tatu ni Mungu kachukua viumbe wake!
Kufa ni lazima kwa kila mja...kama siku zako zipo ..huwezi kufa haya iweje na zikiisha..basi utaondoka tu..ki vyovyote!
 
Ushirikina huu... Wapumzike kwa amani....

Iko hivi kama walikuwa wanasafiri kikazi ina maana walikuwa wanaenda kwenye kesi na kesi ina pande mbili mshtaki na mshtakiwa... Kama yeye kwenye hiyo kesi alikuwa anaonekana kikwazo.... Ni lazima itafutwe namna kikwazo kiondolewe watu wapite wapete
Dhana ya pili kama walitoka walikotoka kikazi na wakawa wameshinda na kulipwa basi upande ulioshindwa unaweza kutafuta namna ya kulipa kisasi
Sipendi kabisa mawazo ya kibwege kama haya!ingekuwa ushirikina angefanya rugemalira na seth !ubwege huu kuingiza ushirikina hapa
 
Shetani ana mbunu nyingi sana...ukiwa na mizimu dhaifu au imani haba basi atakutesa sana na hatimaye kuichukua nafsi yako na kuitumikisha kwa kazi zake za hapa duniani.

Poleni wafiwa.
 
Ushirikina huu... Wapumzike kwa amani....

Iko hivi kama walikuwa wanasafiri kikazi ina maana walikuwa wanaenda kwenye kesi na kesi ina pande mbili mshtaki na mshtakiwa... Kama yeye kwenye hiyo kesi alikuwa anaonekana kikwazo.... Ni lazima itafutwe namna kikwazo kiondolewe watu wapite wapete
Dhana ya pili kama walitoka walikotoka kikazi na wakawa wameshinda na kulipwa basi upande ulioshindwa unaweza kutafuta namna ya kulipa kisasi
Ilitokea hata huku Dodoma, jamaa wakitokea Kondoa kuuza nyumba ya Mrangi iliyoshindikiana miaka mingi, mbona walibiringita kwenye barabara ilinyooka, hakutoka mtu
 
Ajali

Ova
cameraman kiboko mwisho anamalizia lkn hii si Noah ila muundo wake
picha zake zinaonesha ni Harrie Old Model na RPC anasema baada ya kupewa Notification ya faini 30,000 Wakili alikasirika na kuzidisha mwendo mwisho aligonga ngema (jiwe) la barabara na kupoteza mwelekeo
1106821
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom