Ng'wale
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 4,688
- 3,395
Huyo aliye record angefanya nini kwa moto ule?? Afadhari ame record ili tuweze kuona kilichotokea. Hakukua na namna pale, ule moto ulishakua mkubwa. Moto wa petrol unalipuka kwa ghafla sana... Hata kama wangefanikiwa kuzima sijui kwa udongo au fire extinguishers, ingekua ni kuuzima moto usiendelee kuteketeza miili tu lakini si kuponya uhai wa hao marehemu.Nani alirekodi video?