Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,052
- 12,909
Lugha gani?Kwako Mungu tutarejea
Kama humfahamu, humfahamu tu! Hata akielezaje huwezi kumfahamu eti kutokana na maelezo; picha alizotoa mtoa taarifa zinatosha kwa wale waliokuwa wanamfahamu. Tumshukuru mtoa taarifa kwa kutuhabarisha juu ya msiba huu. Mungu ailaze roho ya marehemu pale anapoona panafaa. Amina.Si wote tunaomfahamu marehemu, ongeza nyama kidogo kwenye taarifa yako.
Alikuwa wakili wa mahakama kuu ya TZ. Ametumiwa sana na watu wa CDM kwenye mihemko yao ya kesi mahakamani dhidi ya sheria za nchi. Alikuwa mhadhiri wa sheria pale UDOM. Aliwahi kufungua kesi kupinga sheria ya cyber crime pamoja na sheria ya wanufaika wa mkopo wa elimu ya juu kukatwa 15% ya mshahara ili kurejesha mkopo. Hakuwahi kushinda hizo kesi zote.Alikuwa chama gani
Alikuwa wakili wa mahakama kuu ya TZ. Ametumiwa sana na watu wa CDM kwenye mihemko yao ya kesi mahakamani dhidi ya sheria za nchi. Alikuwa mhadhiri wa sheria pale UDOM. Aliwahi kufungua kesi kupinga sheria ya cyber crime pamoja na sheria ya wanufaika wa mkopo wa elimu ya juu kukatwa 15% ya mshahara ili kurejesha mkopo. Hakuwahi kushinda hizo kesi zote.
Good pointKama ni hivyo mkuu hata takapokamilika habari haifai kuletwa humu kwa sababu sio kila mtu anafahamika na wote waliopo JF.
But good tryAlikuwa wakili wa mahakama kuu ya TZ. Ametumiwa sana na watu wa CDM kwenye mihemko yao ya kesi mahakamani dhidi ya sheria za nchi. Alikuwa mhadhiri wa sheria pale UDOM. Aliwahi kufungua kesi kupinga sheria ya cyber crime pamoja na sheria ya wanufaika wa mkopo wa elimu ya juu kukatwa 15% ya mshahara ili kurejesha mkopo. Hakuwahi kushinda hizo kesi zote.
Mkuu hizo hisia zako au zilishavuja kitambo?Namkumbuka huyu jamaa aligombea uraisi wa Daruso na bwana mmoja Simon Kilawa (kama sijakosea) aliyeperusha bendela hio. Anyway R.I.P Shukuru. Ila huu ugonjwa unakuja kwa kasi sijui kwa nn