Allah amlaze mahala pema peponi,
Ilunga katuletea ukombozi wa kifikra waislaam kwa kutufundisha madhala ya mfumo kristo na jinsi unavyofanya kazi Tanzania.
Ilunga ndie alietoa nondo pale alipotuelezea dhulma za Muungano.
Ilunga alituelimisha jinsi Bakwata ilivyokuwa tawi la kanisa katoliki.
CD za Ilunga zitadumu na tutaendelea kufanyia kazi fikra zake chanya za kujikomboa toka mikononi mwa madhalimu.
Shekh Ilunga Allah Kamchukua ,lkn Kikra zake Zitadumu milele na huu ni wakati wa waislaam na wale wasiokuwa waislaam kutafuta CD zake ili kuendelea kuelimika.
Rest in peace Shekh Ilunga,umekufa kishujaa na allah akupumzishe mahala pema peponi.