masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,410
- 14,119
Mkuu acha ushabiki wa kidini.Uwiiiii! Christians are so blessed, wakristu ndio wagunduzi wakubwa, ndio powerful, ndio wanasayansi wa kwanza, hata huku Afica wakristu ndio powerful ki uchumi, na tutaendelea kuwa powerful kwa kuwa tunamwabudu Mungu wa kweli, asiependa visasi na mauaji
Kuna mambo ya dhahiri na yale yanayofanywa kwa siri... Sheikh Ilunga alifanya kwa dhahiri! Hata hivyo, hakuna popote niliposema kwamba Ilunga ni mtu wa motoni bali nilichosema ni kwamba siwezi kumtetea Sheikh Ilunga mtu anayehubiri kamata huyu kisha muue kulipiza kuuawa kwa yule! Huo sio Uislamu! Kama kweli siufahamu Uislamu, wewe unaoufahamu weka hapa Aya inayozungumzia hicho kitu! Kama huna aya, weka ufafanuzi hapa wa Surat Baqara 178-179 kisha tujitathimini... ni bahati mbaya sana wakati mnadhani mnatetea Uislamu, kimsingi mnatetea wanaopotosha Uislamu kwavile wana majina mazuri kama vile Abdulkadir na mengine kama hayo huku wakiwa hawaachi vilemba!vilevile hata shekh ilunga anaejua uongofu wake au upotofu wake ni allah azza wajallah.
Sasa inakuwaje wewe unakuwa wa kwanza kutoa hukumu juu yake hali ya kuwa yeye amekufa akiwa anashuhudia shahada mbili .
Nahofia kuwa bado haujaujua uislam wako sawasawa or you try to play double standard so as to comfuse our tention .
Mtume muhammad (saw)amekataza kumsema kwa ubaya muislam bali kumtakia rehema. May be you're doyuuth a bit.
Aya za ukatili hizi hapa wala usiangaike na huyo niulize mimi
"Slay them wherever you find them...Idolatry is worse than carnage...Fight against them until idolatry is no more and God's religion reigns supreme." (Surah 2:190-)
"Fighting is obligatory for you, much as you dislike it." (Surah 2:216)
"If you should die or be slain in the cause of God, His forgiveness and His mercy would surely be better than all the riches..." (Surah 3:156-)
"Seek out your enemies relentlessly." (Surah 4:103-)
"Believers, take neither Jews nor Christians for your friends." (Surah 5:51)
"Make war on them until idolatry shall cease and God's religion shall reign supreme." (Surah 8:36-)
NB kuna ushahidi mwingi wa Ukatili wa ALLAH, soma hizo kwanza
Yesu hayumo KWENYE QURAANI!
Tulienae sisi ni ISSA IBN MARIAM ambae ni mtume wa ALLAH.
Hakusulubiwa kama yesu wa kigalatia!
Wala sio mzungu kama zile sanamu na picha wanazoabudu!
Hao unaowaita MAKAFIRI sio watu wa kubembeleza!
Hawa wakizidi sana ni kuwatanguliza akhera tu!
Unanihukumu kama nano?wewe kwani mungu eheee sawa iweje.
Una maendeleo gani we mgalatia unaenuka vinyesi!?
We huko kutolewa mapepo na hao wachungaji umeona maendeleo!?
Kelb wahed!
Umma Unasoma hapa jukwani.
Kataa kuwa viongozi wengi wa makanisa duniani WAMESHTAKIWA KWA MAKOSA YA KULAWITI WATOTO!
Kataa kuwa hapo TZ kuna Viongozi wengi tu wa MAKANISA wanaojishughulisha na Biashara ya madawa ya kulevya!
Kataa kuwa wachungaji wengi tu hapo TZ wamefumaniwa na WAUMINI WA KIKE wakiwaZINI MAKANISANI na KUFUMANIWA NA WAKE ZA WATU!
Na pia kataa kuwa Wewe si mmoja wa kambi ya kutetea Wachungaji wabadhirifu na wizi wa haki wanaotumia jina la yesu kutendea uhalifu wao.
Ndio maana ukajiita Kakende a.k.a kapumbu! Yaani kadogo km ka panya!
Na mwanamme mwenye kapumbu kadogo anakuwa AMEHASIWA! kitu ambacho husababisha apende wanamme kuliko wanawake!
I dont tolerate profanities on either side and strongly condone such erratic behaviour. ..one thing for sure no religion allows profanities. .whoever does it with excuse of retaliation has no difference from the initiator..
Kwani huko Mbinguni/Peponi tutakuwa na hii MIILI? I mean tutakuwa SEXUAL ORGANS za kuweza kujamiiana?!. Kweli inabidi niongeze juhudu ya kuifahamu ELIMU YA DINI inaelekea sifahamu mengi.
Mkuu wangu THE BIG SHOW, sitaki kuwa mnafiki katika hili... ni Waislamu wenyewe ndio tunapotosha dini yetu. Kule Mombasa aliuawa Sheikh, kuona hivyo, Sheikh Ilunga akawahamasisha Waislamu kwamba Kuran imetoa ruhusa ya kisasi na hivyo, kv Sheikh ameuawa basi Waislamu wa Mombasa nao badala ya kuchoma magari moto, waue padri au askofu... akafanya reference Surat Baqara 178! Ni matumaini yangu unasoma Koran..., Surat Baqara 178 inaanza kwa kusema "Enyi mlioamini! Mmepewa rukhsa kulipa kisasi katika waliowaua... muungwana kwa muungwana na mtumwa kwa mtumwa na mwanamke kwa mwanamke...." na mwisho wa aya hiyo inamalizia "Na atakayeruka mipaka baada ya haya, basi yeye atapata adhabu iumizayo"
Mkuu wangu ikiwa ulienda Madrasa na ukatulia bila shaka unafahamu Koran ilikuja kidogo kidogo kwa miaka zaidi ya ishirini kwavile baadhi ya Aya zilikuwa zinashuka kuja kukemea au kufunza jambo fulani! UKisoma Koran bila kufahamu historia ya kila aya, lazima utatafsiri ndivyo sivyo! Kwa mfano, Aya niliyoitaja hapo juu ilikuja kukemea tabia za Waarabu wa wakati ule... ilivyokuwa, mathalani kv NasDaz mimi ni hoe hae, ikitokea kwamba mathalani nimeua Housegirl wa JK, kwa tabia za Waarabu wakati ule wangesema kv JK Family ni royal family, basi House Girl wao ni sawa na Baba mwenye nyumba wa familia ya NasDaz! Kwahiyo, ingewaje nimeua Housegirl, ktk kulipiza angeuawa baba yangu!! Au tuseme ingekuwa Riziwan ananiua mimi... kwa tabia zao wakati ule, wangesema kv Riz1 ni from Royal family na NasDaz alieuawa ni hoe hae, basi wao wangetoa labda Shamba Boy ili ahukukumiwe. Kutokana na tabia hiyo ambayo ilienea miongoni mwa Waarabu, ndipo ikashuka Surat Baqara 178 na kusema "Mtumwa kwa Mtumwa" na "Muungwana kwa Muungwana" na si ten kujifanya hawa ni untouchable na wale ndo wasio na haki! Lakini Baqara 179 inamalizia " mtakuwa nao uhai katika kulipiza kisasi enyi mlioamini" Hapa sababu ikiwa wazi kabisa kwamba ikiwa unafahamu kwamba ukiuawa nawe utauawa, basi lazima utaogopa tu!!
Lakini Sheikh Ilunga baada ya kuuawa yule Sheikh wa Mombasa, yeye akasema basi akamatwe Padri nae auawe! Lakini lazima tukumbuke kwamba hukumu zote ktk Uislamu zina taratibu zake... mathalani, ingawaje hukumu ya Mwanamke mzinzi ni kupigwa mawe hadi kufa huwezi kufanya hivyo hadi patokee mashahidi wannne wenye kuheshimika na kumuogopa Mungu washuhudie kwamba mwanamke huyu amezini... Sasa Ilunga anapohamasisha watu wakamate padri wauwe kwa kutumia taratibu zipi? Haidhuru, hata Koran iliyaona hayo mapema ndio maana ikamalizia "Na atakayeruka mipaka baada ya haya, basi yeye atapata adhabu iumizayo!" Huwezi kusikia Sheikh ameuawa kisha nawe ukakurupuka ukaenda kuua Padri ukasema ndivyo Koran inavyosema.... huko ni kuvuka mipaka ya KOran na wala sioni aibu kusema tuache kupotosha maandiko yetu wenyewe!
Haya turudi kwa hao Boko Harama!! Hivi kweli mnaamini watu kama wale wanapigani dini? NI wapi na lini Uislamu umefundisha kupita kuua watu wasio na hatia? Hivi ni Uislamu gani unakamata mabinti wadogo unaenda kuwaua? Ni mara ngapi Boko Haram kule kwao wameshambulia shule na kuua watoto... ndo Uislamu unavyosema hivyo?
Sasa ikiwa Boko Harama na Sheikh ILunga wanapitisha mipaka ya yale yaliyosemwa kwenye Koran, basi kwa hakika wote ni sawa! Hili silionei haya kulisema hata kama nitaonekana Kafri.
Afie mbali...devils advocated
kila mmoja afahamu kwa maana mwenye kutoa hukumu ya haki kuhusu NasDaz ni mtu wa namna gani ni Mungu peke yake. !
Kwa heshima yangu kwako, nalazimika kutokukujibu post hii inagwaje nilishapoteza muda mwingi kukujibu post nyingine... haidhuru, unaweza kuikataa heshima ingawaje nakuombea urejewe na moyo wa imani na ustahimilivu! Mrejee Mtume wako wakati anadhalilishwa na watu ambao wengine ni ndugu zake lakini hakupata kumuudhi yeyote!!Aaah
Kumbe napoteza muda kwa kuzungumza na chizi...
Sasa wewe udhalimu wote alioufanya nyerere ikiwa ni pamoja na kuwaweka waislam wenzako vizuizin na ikibid wengine kupotezwa kimya kimya huoni siyo??
Na nyerere alipokuundia chombo km bakwata na kutumia chombo hicho kubana waislam na kuwarudisha nyuma kimaendeleo ya kila nyanja wewe hulion hilo..
Kweli mapimbi wengi nchi hiii
Pamoja na watu km ilunga kusimama na kuyasema hayo waz waz bado ww unajitoa ufaham tena hadi unafikia kumfananisha nyerere na mwinyi??
Haya tumekuskia nenda kakojoe ukalale maana bado mchanga wewe ukikua utaacha uwendawazim wako.
Mbona tena unapingana na maneno yako wewe si ndiyo umesema ni Mungu pekee ndiyo anatambua ya nafsi yako siyo binadamu...lakini ukija kwa Ilunga unapingana na kauli yako na kutoa hukumu moja kwa moja kwa Ilunga.Mkuu wangu THE BIG SHOW, sitaki kuwa mnafiki katika hili... ni Waislamu wenyewe ndio tunapotosha dini yetu. Kule Mombasa aliuawa Sheikh, kuona hivyo, Sheikh Ilunga akawahamasisha Waislamu kwamba Kuran imetoa ruhusa ya kisasi na hivyo, kv Sheikh ameuawa basi Waislamu wa Mombasa nao badala ya kuchoma magari moto, waue padri au askofu... akafanya reference Surat Baqara 178! Ni matumaini yangu unasoma Koran..., Surat Baqara 178 inaanza kwa kusema "Enyi mlioamini! Mmepewa rukhsa kulipa kisasi katika waliowaua... muungwana kwa muungwana na mtumwa kwa mtumwa na mwanamke kwa mwanamke...." na mwisho wa aya hiyo inamalizia "Na atakayeruka mipaka baada ya haya, basi yeye atapata adhabu iumizayo"
Mkuu wangu ikiwa ulienda Madrasa na ukatulia bila shaka unafahamu Koran ilikuja kidogo kidogo kwa miaka zaidi ya ishirini kwavile baadhi ya Aya zilikuwa zinashuka kuja kukemea au kufunza jambo fulani! UKisoma Koran bila kufahamu historia ya kila aya, lazima utatafsiri ndivyo sivyo! Kwa mfano, Aya niliyoitaja hapo juu ilikuja kukemea tabia za Waarabu wa wakati ule... ilivyokuwa, mathalani kv NasDaz mimi ni hoe hae, ikitokea kwamba mathalani nimeua Housegirl wa JK, kwa tabia za Waarabu wakati ule wangesema kv JK Family ni royal family, basi House Girl wao ni sawa na Baba mwenye nyumba wa familia ya NasDaz! Kwahiyo, ingewaje nimeua Housegirl, ktk kulipiza angeuawa baba yangu!! Au tuseme ingekuwa Riziwan ananiua mimi... kwa tabia zao wakati ule, wangesema kv Riz1 ni from Royal family na NasDaz alieuawa ni hoe hae, basi wao wangetoa labda Shamba Boy ili ahukukumiwe. Kutokana na tabia hiyo ambayo ilienea miongoni mwa Waarabu, ndipo ikashuka Surat Baqara 178 na kusema "Mtumwa kwa Mtumwa" na "Muungwana kwa Muungwana" na si ten kujifanya hawa ni untouchable na wale ndo wasio na haki! Lakini Baqara 179 inamalizia " mtakuwa nao uhai katika kulipiza kisasi enyi mlioamini" Hapa sababu ikiwa wazi kabisa kwamba ikiwa unafahamu kwamba ukiuawa nawe utauawa, basi lazima utaogopa tu!!
Lakini Sheikh Ilunga baada ya kuuawa yule Sheikh wa Mombasa, yeye akasema basi akamatwe Padri nae auawe! Lakini lazima tukumbuke kwamba hukumu zote ktk Uislamu zina taratibu zake... mathalani, ingawaje hukumu ya Mwanamke mzinzi ni kupigwa mawe hadi kufa huwezi kufanya hivyo hadi patokee mashahidi wannne wenye kuheshimika na kumuogopa Mungu washuhudie kwamba mwanamke huyu amezini... Sasa Ilunga anapohamasisha watu wakamate padri wauwe kwa kutumia taratibu zipi? Haidhuru, hata Koran iliyaona hayo mapema ndio maana ikamalizia "Na atakayeruka mipaka baada ya haya, basi yeye atapata adhabu iumizayo!" Huwezi kusikia Sheikh ameuawa kisha nawe ukakurupuka ukaenda kuua Padri ukasema ndivyo Koran inavyosema.... huko ni kuvuka mipaka ya KOran na wala sioni aibu kusema tuache kupotosha maandiko yetu wenyewe!
Haya turudi kwa hao Boko Harama!! Hivi kweli mnaamini watu kama wale wanapigani dini? NI wapi na lini Uislamu umefundisha kupita kuua watu wasio na hatia? Hivi ni Uislamu gani unakamata mabinti wadogo unaenda kuwaua? Ni mara ngapi Boko Haram kule kwao wameshambulia shule na kuua watoto... ndo Uislamu unavyosema hivyo?
Sasa ikiwa Boko Harama na Sheikh ILunga wanapitisha mipaka ya yale yaliyosemwa kwenye Koran, basi kwa hakika wote ni sawa! Hili silionei haya kulisema hata kama nitaonekana Kafri.
+Kakende+Kama kweli waislam mngekuwa kama huyu jamaa, au yule shekhe mkuu wa Dar, basi tusingekuwa tunaitana magaidi. Gaidi ni mtu yeyote anaeua watu bila hatia hata kama awe wa dini yeyote ile. Mfano Joseph Koni ni GAIDI
Yesu hayumo KWENYE QURAANI!
Tulienae sisi ni ISSA IBN MARIAM ambae ni mtume wa ALLAH.
Hakusulubiwa kama yesu wa kigalatia!
Wala sio mzungu kama zile sanamu na picha wanazoabudu!
Hao unaowaita MAKAFIRI sio watu wa kubembeleza!
Hawa wakizidi sana ni kuwatanguliza akhera tu!
wewe paka jizi kakende hizo aya ulizozitoa unajua zinazungumzia nini....au una copy na kupaste tu...sema ueleweshwe...
Katangulia Ilunga tayari.
Aibu ya Sheikh Ilunga hakuna aliyeweka wazi bali ni yeye mwenyewe... ni yeye mwenyewe na watu wake ndio walirekodi na kupotosha mafundisho ya Koran. Hata hvyo, naamin hata huyo Mtume mwenyewe leo angefahamu kwamba wanaojigamba kuufahamu Uislamu ni watu wasio na lugha za staha, kwa hakika angehuzunika sana! Pamoja na hayo, acha tu nifurahi unapotoa tafsiri yako ya Mwislamu wa kweli...wewe unamatatizo.
Muislam wa kweli ni yule mwenye kumsalimisha muislam mwenzie kwa ulimi wake na mikono yake.
Kabla ya kutaja aibu ya muislam mwenzio anza yako
ni bora ukae kimya.mwenye kukaa kimya husalimika na mengi.
Tazama ujinga uliouandika kwenye neno NasDaz weka ilunga.