CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Habari zenu wadau wa Jamii Forums..
Nasikitika kuwataarifu kuwa member mwenzetu dada ram amefiwa na binamu yake.
Msima upo Butimba jirani na Magereza (Mwanza). Naomba tuungane
kumfariji dada ram na wale walioko hapa jijini Mwanza tunaweza kwenda kumpa pole....
"Bwana alitoa na Bwana ametwaa
jina lake lihimidiwe"
Habari ziwafikie WanaJF wote walioko Jijini Mwanza na nje ya Mwanza, wana Rock City Wing wote ThinkPad, Home First, TrueLove, Elizabeth Dominic, Rock City, Mzee Gedeli......

Rock city wing polen sana zaid Mungu awatie nguvu na ujasiri katika kipindi hiki
Tunashukuru sana mkuu....
Lini mwili wategemewa kuzikwa walau wadau tuhudhuriemo kumfariji mwana MMU.
Tumegee jina la Binamu huyo wengine tuna Ndugu zetu huko na mawasiliano ni Magumu yawezekana wakawa watu wetu.......
Mwenyezi Mungu aiweke roho ya marehemu pahali panapostahili