KizzKazz
JF-Expert Member
- Jun 9, 2016
- 224
- 193
Mwaka 1996 au 97 kama sijakosea wakati nasoma pale Azania Sec, ilikuwa ijumaa mimi na mwenzangu tumebinjuka nyavu ya uzio unaotenganisha shule yetu na Hospitali ya Muhimbili upande ule nahisi ndio makazi ya wafanyakazi waliokuwa wakiishi pale; ghafla gari iliyokuwa ikitokea kwenye zile flats ikasimama mbele yetu.
Dereva akatutolea salaam kisha akatuomba tuingie garini!
Mie na mwenzangu tukapigwa butwaa, kwa maana hatumjui huyu mtu!
Kama vile alielewa tunawaza nini akatutoa hofu... "Nadhani mnawahi ijumaa msikitini, ingieni twende!"
Wakati anaondoa gari ndipo akajitambulisha kuwa anaitwa Dkt. Jahazi...