REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 5,252
- 11,481
dah! R.I.P mzee wetu
duh kwaiyo ilo lote ni jina la mtu mmoja! haya bhana R.I.PMwandishi Nguli wa Kazi za Fasihi ya Kiswahili Prof. Euphrase Kezilahabi amefariki dunia. Tutamkumbuka Kezilahabi kwa kazi zake kama Rosa Mistika, Uwanja wa Fujo, Kaptula la Marx, Nagona na Mzingile! Alitetea Mashairi ya Kisasa!
Hakika, Jabali limeanguka! Tumeondokewa pakubwa.
Pumzika kwa amani Euphrase Vincent Mfunzi Bagaza Tilibuzya Kezilahabi😭😭
na kaptula la MarxRIP mtunzi wa Rosa Mistika
Prof mbele yupi ? Wa hapa US au?Daaah maprofesa tunazidi kudondoka juzi profesa mbele leo kezilahabi. R.I.P profesa
Prof mbele yupi ? Wa hapa US au?
Nimegoogle nimegundua ni prof amon mbeleNami nataka kujua.
Prof mbele yupi ? Wa hapa US au?
Hv kile kitabu cha "Miradi bubu ya wazalendo "aliandikaga nani sie huyu kweli??Mzee wa "Rosa Mistika", ametuachia hazina kubwa duniani.