Tanzia: Prof. Euphrase Kezilahabi amefariki dunia

Tanzia: Prof. Euphrase Kezilahabi amefariki dunia

Mwandishi Nguli wa Kazi za Fasihi ya Kiswahili Prof. Euphrase Kezilahabi amefariki dunia. Tutamkumbuka Kezilahabi kwa kazi zake kama Rosa Mistika, Uwanja wa Fujo, Kaptula la Marx, Nagona na Mzingile! Alitetea Mashairi ya Kisasa!

Hakika, Jabali limeanguka! Tumeondokewa pakubwa.

Pumzika kwa amani Euphrase Vincent Mfunzi Bagaza Tilibuzya Kezilahabi😭😭

Soma; Kaptula la Marx: Unafahamu kwanini kitabu hiki kilipigwa marufuku? Waandishi wetu na Siasa zetu
====


Zaidi Soma:
1. Kaptula la Marx: Unafahamu kwanini kitabu hiki kilipigwa marufuku? Waandishi wetu na Siasa zetu
R.I.p
 
Profesa kezalahabi n fund hasa wa utunz tz. Kuelewa falsafa yake unapaswa kuwa na kichwa kzur
 
Back
Top Bottom