Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,615
- 17,607
Dah kwenye hit em up.. Tupac alimsema huyu jamaa. R.I.P
Kizungu
Dah, aisee tatizo nini hadi unakosa taste? mada na comment za hovyo?Nipo mkuu. Sometimes huwa nakosa taste tu na hii mitaa au nakuwa nimetingwa, so napumzika kidogo.
Dah si mchezo, mi nilianza wafatilia Mobb Deep way back 90's baada ya Pac kuwachana kwenye nyimbo yake,napenda sana Prodigy anavyochana.
R.I.P
Shook ones, can't complain, It's mine fet Nas(Thug life is mine), Blood money etc
"Y'all need to give it up we don't give a f*ck
What y'all niggaz want thug, life, is, mine
Y'all need to give it up 'cause we don't give a f*ck
What y'all niggaz want thug, life, is mine…"
muulize JoseverestSijui nimefuata nini huku Wallahi!
Dah, aisee tatizo nini hadi unakosa taste? mada na comment za hovyo?
Hell on Earth- Mobb Deep@Faizafoxy kwanini hupitii na huku kwenye kizungu?maana hizo tungo zimenishinda kila nikisoma najikuta natuma watoto panadol!
DuuhFaiza foxy kwanini hupitii na huku kwenye kizungu?maana hizo tungo zimenishinda kila nikisoma najikuta natuma watoto panadol!