Tanzia: Paul Chizi afariki Dunia.

Tanzia: Paul Chizi afariki Dunia.

Huyu sio yule Chizi mwizi wa kura aliyekuwa anatumika na CCM baadae akahama na Lowassa kwenda kuwazuga upinzani?

Apumzike kwa amani!
Ndiye, anaitwa Chizii. Lowassa alisema kaondoka na mtaalamu wa kuiba kura aliyekuwa anatengeneza mifumo ya wizi wa kura akampeleka Chadema ili waibe kura 2015. Ajabu hadi leo anadai yeye ndo aliyeibiwa pamoja na kuwa mwizi wa kura walikuwa nae Chadema.

R.I.P. Chizii.
 
Hapana hapana mkuu, huyu yupo mbali na mambo ya siasa. Huyu ni mtaalamu wa mambo ya aviation, marketing, customers care, security....., na alifungua kampuni ya kutoa ushauri katika hizi kada. Alileta unafuu sana wa bei katika mambo ya usafiri wa ndege
 
Back
Top Bottom