Pumzika kwa amani eeeee mchunga kondoa wa Bwana.
Mgonjwa wa shinikizo la damu kwa muda mrefu halafu unaambiwa mwenzako kapigwa risasi kwa nini usishtuke mpaka kifo? Kwa hali yoyote hicho kifo kinahusiana na tukio la mwenzie kupigwa risasi. R.I.P Fr. Minja. Poleni waumini.
Mwanga wa milele umwangazie ee bwana.
shukuru Mungu kwani hutakufa. Marehemu ana ndugu na jamaa kama umeshindwa kumheshimu yeye waheshimu ndugu na jamaa zake wakati huu mgumu sana meal. Mungu akujalie heshima na adabu kwa viumbe wake. That is all. RIP Fr. Minja.polen sana ila vichapo na shilikizo la damu yatawamaliza sana.awez pumzika kwa aman ni kichapo tu
polen sana ila vichapo na shilikizo la damu yatawamaliza sana.awez pumzika kwa aman ni kichapo tu
polen sana ila vichapo na shilikizo la damu yatawamaliza sana.awez pumzika kwa aman ni kichapo tu
polen sana ila vichapo na shilikizo la damu yatawamaliza sanaQUOTEPHP:.awez pumzika kwa aman ni kichapo tu[/
Penye nyekundu unataka kusemaje? Father RIP
Kufa wa kwa pressure shauri ya kula viti moto na udini wa JK havihusiani, majungu hayajengiJK kaulea sana udini
Mgonjwa wa shinikizo la damu
kwa muda mrefu halafu unaambiwa mwenzako kapigwa risasi kwa nini
usishtuke mpaka kifo? Kwa hali yoyote hicho kifo kinahusiana na tukio la
mwenzie kupigwa risasi. R.I.P Fr. Minja. Poleni waumini.
polen sana ila vichapo na
shilikizo la damu yatawamaliza sana.awez pumzika kwa aman ni kichapo
tu
Hujui ulipo...,jiangalie kwenye kioo ujione ulivyo halafu rudi njoo andika tena....polen sana ila vichapo na shilikizo la damu yatawamaliza sana.awez pumzika kwa aman ni kichapo tu
Hujui ulipo...,jiangalie kwenye kioo ujione ulivyo halafu rudi njoo andika tena....
Mi nilizani yule aliyepigwa risasi au wameua mwingine.Anyway iswe tabu R.I.P father
Aisee ww ni wa pekee ehee!
J