TANZIA: Padre Afariki Dunia Zanzibar

TANZIA: Padre Afariki Dunia Zanzibar

kujiangali ktk kioo ni kutaka kumkosoa muumba,ata ingekuwa unamuombea apumzike kwa aman dunia nzima.mungu amefunga rizki yake na bado wengine

Ndugu una matatizo makubwa, wewe ndo unasababisha wote muonekane hamna akili...
 
Ndugu una matatizo makubwa, wewe ndo unasababisha wote muonekane hamna akili...

mie ni maoni yangu.pia mbona alipo kufa osama,gadaf na sadam.wengi walfulaia acha mie nishangili kufa uyo padri.bado
 
Fr Peter Minja!!!! Kuriche nini? Sio yule mpenda volley ball kwao Marangu zamani alisoma Maua! Maskini! Mungu ailaze pema roho yake peponi!
 
Back
Top Bottom