Tanzia: Mzee Obed Masawe ''Masobe" hatunaye tena

Ila kifo bana wengine wanafia kanisani , misikitini, wengine kwenye pombe, wengine ajali , wengine wanafia gesti wakivunja amri ya sita ila kuna vifo vingine japo mimi sio mtoa hukumu ndugu au mpendwa wako akifa huwa unalia kwa machu gu mosi kwa kumkosa mpendwa wako , pili mazingira ya kifo yalipomkuta mwee kesheni mkiomba kwa vile hamjui siku wala saa mwana wa adamu atakapo kuja kulinyakuwa kanisa lake.

Kesheni mkiomba wewe hukeshi? naona umejitoa
 
Itufundishe kuwa tunasafiri duniani hatujui siku wala saa,hivyoi tuwe tayari kwa kumpokea YESU kuwa Bwana
na Mwokozi wa maisha yetu ili kifo kikitukuta muda wowote twende Mbinguini milele,ukifa ukiwa mwenye dhambi
unakwenda motoni milele
 
Huku sio kuchangia ushuzi nani anajua atafia wapi pengine wewe utakufa ukizini au ufie chooni ukijisaidia .heshimu maisha ya mwenzako na skitika kifo cha mwenzako .maana hujui saa wala siku sisi wote ni marehemu watarajiwa mimi dakika hii au wewe au pengine baadae chunga kinywa ndugu
 
umesema kweli kabisa maana naona watu wameshaanza kuhukumu wakati wao hajui watakufa saa ngapi na katika mazingira gani? R.I.P baba
 
Yaa mtu kamaliza safari yake duniani wanapiga mboyoyo .kila mtu kapangiwa atakavyomaliza safari yake .muhimu ni kukaa mungu kujiweka tayari .Rip masobe
 
Nyuma yetu,mbele yake,tuache masikhara jamani,kifo ni kifo tu,inauma sana,alikuwa mtu wa watu sana.
 
Kesheni mkiomba wewe hukeshi? naona umejitoa

Hayo sio maneno yangu yapo ndani ya Biblia na nimeyaweka kama yalivyo kwa kuwa Biblia inaonya kuongeza au kupunguza hata nukta maneno yote yaliyo ndani yake soma Biblia ndugu nawe utakuwa huru.
 
Hukuonesha kama ume-quote somewhere
 
Huku sio kuchangia ushuzi nani anajua atafia wapi pengine wewe utakufa ukizini au ufie chooni ukijisaidia .heshimu maisha ya mwenzako na skitika kifo cha mwenzako .maana hujui saa wala siku sisi wote ni marehemu watarajiwa mimi dakika hii au wewe au pengine baadae chunga kinywa ndugu

Kila nafsi itaonja umauti sasa mhukumu na Yesu aliyewaambia wanafunzi wake waacheni wafu wazike wafu wao au kawahukumu na viongozi wa kiroho wanaohubiria watu na kuwakumbusha kumrudia Mungu kutenda yaliyo mema, kuacha uzinzi, pombe, kusengenya , kuwapenda jirani zetu, mayatima wazee, wajane, kweli itakuweka huru kwa hiyo watu tusiambiwe pombe dhambi, kuzini dhambi kisa wote tutakufa haya ni mawazo ya kumpa promo shetani.
 
Itufundishe kuwa tunasafiri duniani hatujui siku wala saa,hivyoi tuwe tayari kwa kumpokea YESU kuwa Bwana
na Mwokozi wa maisha yetu ili kifo kikitukuta muda wowote twende Mbinguini milele,ukifa ukiwa mwenye dhambi
unakwenda motoni milele

Waambie mdau manake kuna wengine hawapendi kabisa kusikia haya mahubiri huwa yanawachoma.
 
Unaweza kufia mahali popote tu,
Pole wahanga wote;
Pumzika tajiri wa ar.
 
ROHO YA MAREHEMU IPATE REHEMA KWA MUNGU NA IPUMZIKE KWA AMANI
MWANGA WA MILELE UMWANGAZIE APUMZIKE KWA AMANI AMINA.
Brother Masobe
Rest in peace
 
Naona umejihami mapema.
Anyway maadamu alikua anakunywa pombe na kafa nazo,najua kwasasa atakua anachezea kichapo cha ukaidi!!!
Hiyo kazi ya kuhukumu anaifanya Mungu Mwenyewe. Ahukumuye huukumiwa badili tabia
 
hahahahahaaaaaaaa asante kwa kumtetea ila mara nyingi nia ndo utangulia badala ya kitendo chenyewe hivyo alidhamiria kunywa

Karibu kwa huduma za
Decoration (Open hall na kkumbi mbalimbali)
Kutengeneza KADI na KEKI za sherehe mbalimbali
Wedding Planner
Hapo tutakosa kilevi? Ni bora kutotusi mamba ukiwa ndani ya mto.
 
ROHO YA MAREHEMU IPATE REHEMA KWA MUNGU NA IPUMZIKE KWA AMANI
MWANGA WA MILELE UMWANGAZIE APUMZIKE KWA AMANI AMINA.
Brother Masobe
Rest in peace

Unataka kumfundisha Mungu kazi? Hakuna sala yo yote yenye manufaa kwa marehemu. Kama hakuwa ameokoka ni kwamba muda huu unaposema apumzike kwa amani anateseka motoni. (Luka 16:19-30).
 
asante kwa kumwambia huyu maana wengine wanafikirii ukimwombea marehemu atakwenda paradiso kumbe ndo kwanza anampalia moto wa juu

Back
Top Bottom