Tanzia: Mzee Obed Masawe ''Masobe" hatunaye tena

Tanzia: Mzee Obed Masawe ''Masobe" hatunaye tena

wanajamvi,

mzee masawe obed "masobe supermarket" jengo la ccm mkoa wa arusha amefariki jana majira ya saa 12 jioni bot club katika mazingira ya kutatanisha.mzee masobe alifika bot club kwaajili ya kupata supu ya jioni na bia mbili tatu katika hali ya kushangaza na kustusha mzee alianguka ghafla na kufariki muda mchache baadae.

Rip mzee masobe.
nilijua huyu afandendio obed loh mkuu uishimilele kututangazia marehemuwetu nilianzakushtuka kwakweli
 
Tahadhari kwa wenye BP huwa haziendani na pombe hasa HBP.
 
Kajipeleka mwenyewe sehemu anayostahili


rip mzee ila mlevi ni dhambi kubwa mno

Umemfanyia postmortem ukathibitisha kuwa kifo chake kimetokana na pombe?!

Mbona hata watu wasiokunywa pombe wanapata heart attacks?!
 
Rafiki mwandiko wako kama unakimbizwa vile yaani huwaga unaniacha hoi unavyoandika thread ndo mbavu zinanitoka
nilijua huyu afandendio obed loh mkuu uishimilele kututangazia marehemuwetu nilianzakushtuka kwakweli
 
Mwanamke amefia karibu na Ofisi za CCM..mwanaume alikuwa ana duka kwenye jengo la CCM..pole kwa wote waliopoteza ndugu zao
 
hahahahahaaaaaaaa asante kwa kumtetea ila mara nyingi nia ndo utangulia badala ya kitendo chenyewe hivyo alidhamiria kunywa


Kuna jamaa mmoja niliongea naye kuhusu ulevi, yeye alinambia huenda bar kwa nia ya kulewa, sasa kama hataki kulewa anaenda bar kufanya nini? Na kweli, yeye kila akienda bar, mikoni huisaidia miguu kutembea.!!
 
Hahahahahahaaaaaaaaa

rafiki vipi tena ulihairisha ile issue yako au ushakamalisha?
kuna jamaa mmoja niliongea naye kuhusu ulevi, yeye alinambia huenda bar kwa nia ya kulewa, sasa kama hataki kulewa anaenda bar kufanya nini? Na kweli, yeye kila akienda bar, mikoni huisaidia miguu kutembea.!!
 
Inawezekana alikuwa anaongea na watu wa art, wamemkadiria kodi kubwa mno. RIP
 
rafiki mwandiko wako kama unakimbizwa vile yaani huwaga unaniacha hoi unavyoandika thread ndo mbavu zinanitoka

rafikinikipajitu mungu akuwezeshe furahayangukuona inafurahinakwenye ndoazetu
 
yaani sasa rafiki ndo umeanichanganya kabisa unaposema hapo nilipoweka red sijakusoma kabisa ulimanisha nini mweee
kweli wewe majanga huo mwandiko jifunze tena kuandika maana mpaka mtu hakuelewe itachukua miaka 10
rafikinikipajitu mungu akuwezeshe furahayangukuona inafurahinakwenye ndoazetu
 
Back
Top Bottom