hivi kuna sehemu kwenye biblia imeandikwa kunywa pombe ni dhambiKajipeleka mwenyewe sehemu anayostahili
rip mzee ila mlevi ni dhambi kubwa mno
hivi kuna sehemu kwenye biblia imeandikwa kunywa pombe ni dhambiKajipeleka mwenyewe sehemu anayostahili
rip mzee ila mlevi ni dhambi kubwa mno
Arusha si ndo wazee wa hyperboles ....hadi dogo janja ni bilionea
Lakini hakua amelewa........ndio alikua anaanza na supu........simu ndio ikaja.........bia ilikuwa ifuate baada ya shibe........
Nani kasema, mvinyo kidogo ni safi sana kwa presha!!hata hivyo pombe si nzuri kwa afya. R.I.P mzee
Poleni sana Preta kwa kuondokewa na Billionaire..
Hivi kwa mahesabu ya haraka kuanzia pale sanawari hadi olasiti wamebaki Mabillionaire wangapi unao wafahamu?
Nani kasema, mvinyo kidogo ni safi sana kwa presha!!
Mkuu Ngongo mazishi yamesha fanyika?