Tanzia: Mzee Mohamed Hamis mchopanga hatunaye

Tanzia: Mzee Mohamed Hamis mchopanga hatunaye

Nashukuru Kwa kunielewesha madame...

Bila shaka alikuwa mzee mtata sana mpaka watu kama ninyi kumfahamu....

Makumhusho hii ya sasa wazee wananiambia ilikuwa pori sana mtu akipewa kiwanja anasusa ila sasa kwa mijengo hii si makumbusho ya miaka ile...
Mama aliniambia enzi hizo ukipata kiwanja huko unajishauri, maisha kwa nyumba za kupanga yalikuwa Kariakoo au Temeke, middle class walikuwa Upanga. Oyster Bay ni wazungu na waafrika wachache wale maboss.
 
Pole kwa wafiwa, ila ungeandika dingi wake J Mo ungeturahisihia.
 
Back
Top Bottom