Tanzia: Mzee Mohamed Hamis mchopanga hatunaye

Tanzia: Mzee Mohamed Hamis mchopanga hatunaye

kwa sasa nadhani tunaweza kwa sababu umekua na kitanoga kweli kweli au je, bana wewe?
 
Basi sawa... manake hata pipi alizokuwa anakununulia hukuzikumbuka lakini ukakumbuka......!!

Haya bhana, Bora Nikae Kimya!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ewaaaaa ndio hizo mambo jamani alizokuwa ananifanyia mzee mchopanga huku kanipakata mjukuu wake Mungu ampumzishe mahali pema peponi [emoji120][emoji120]
You have accused the deceased old man of Child Molestation. May be he went further...
 
Speaking of the dead, kuna makaburi huwa nikipita nayaangaliaa alafu nawaonea huruma wale wafu waliomo ndani yake maana ni dhahiri hawakukamilisha kitu kimoja muhimu sana kwa ajili ya maisha ya baadaye... Then I say, its a choice that they have made...
Kwa hiyo ndo kusema na mzee hakukamilisha[emoji134]
 
You have accused the deceased old man of Child Molestation. May be he went further...
Hawa wazee wetu wa pwani ndo michezo yao kushika wajukuu madhiwa. Nakumbuka kukua kwangu ingekua zama hizi ningepeleka watu ndani na mimi. Ilikua inakera kwanza hata huoni kwanini mzee anakushika
 
Jamani R.I.P mzee mchopanga wakati tunaishi makumbusho nipo mtoto alikuwa ananiita mchumba mchumba na kunishika tuziwa eti
Kama uliishi makumbusho jirani na mzee mchopanga nitakua nakujua aisee,maana na mie nimekulia mitaa hiyo kabla hajahamia sinza
 
Hawa wazee wetu wa pwani ndo michezo yao kushika wajukuu madhiwa. Nakumbuka kukua kwangu ingekua zama hizi ningepeleka watu ndani na mimi. Ilikua inakera kwanza hata huoni kwanini mzee anakushika
Mnh!!
Kumbe nimepeleka kesi ya ngedele kwa nyani!!
 
Shunie , hebu muulize Mzigua90 kimemfurahisha nini mimi kusema mbona kama umem-miss Mzee Mchopanga!! Ni kwamba anaunga mkono, you sound like ume-miss mtekenyo kwenye tujinyonyo; au?!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Unamchokoza ndugu yangu eti kammiss mtekenyo kwenye tunyonyo
 
Back
Top Bottom