Tanzia: Mzee Mohamed Hamis mchopanga hatunaye

Tanzia: Mzee Mohamed Hamis mchopanga hatunaye

Kweli...zamani raha babu au mtu mzima anaweza bonyeza vichuchu ki utani eti mchumba,ingekuwa sasa polisi tu.
Ewaaaaa ndio hizo mambo jamani alizokuwa ananifanyia mzee mchopanga huku kanipakata mjukuu wake Mungu ampumzishe mahali pema peponi [emoji120][emoji120]
 
Mie nikajua ni Yule bwana alokuwa Mume wa Hadija Mchops kisha kuachana Yule mtangaji wa times fm?!
Au ni majina tu yanafanana?!
Anyway pole Yao wafiwa!
 
Tunashukuru kwa taarifa Mkuu na pole kwa Familia yake na tumuombee kwa Mwenyezi Mungu aipokee roho yake na aiweke mahala pema peponi. Ila nadhani ulipashwa pia angalau utupe kidogo ' Wasifu ' wake Mzee ili hata Sisi wengine tumjue kwani nina uhakika wengi wetu humu Jamvini ama hatumjui kabisa au kutokana na harakati zetu za Vyuma Kukaza hapa mjini tumeshamsahau. Tafadhali ama kupitia Kwako Wewe au Member mwingine yoyote tafadhali tupeni ' details ' za kutosha za huyu Mzee wetu.

Ni baba yake msanii Jay Mo
 
Speaking of the dead, kuna makaburi huwa nikipita nayaangaliaa alafu nawaonea huruma wale wafu waliomo ndani yake maana ni dhahiri hawakukamilisha kitu kimoja muhimu sana kwa ajili ya maisha ya baadaye... Then I say, its a choice that they have made...
 
Ewaaaaa ndio hizo mambo jamani alizokuwa ananifanyia mzee mchopanga huku kanipakata mjukuu wake Mungu ampumzishe mahali pema peponi [emoji120][emoji120]
Mnh!! Mbona kama umem-miss sana Mzee Mchopanga kupitia hiyo idara?!

Anyway, R.I.P Mzee Mohammed Mchopanga!!
 
Speaking of the dead, kuna makaburi huwa nikipita nayaangaliaa alafu nawaonea huruma wale wafu waliomo ndani yake maana ni dhahiri hawakukamilisha kitu kimoja muhimu sana kwa ajili ya maisha ya baadaye... Then I say, its a choice that they have made...
Kwahiyo wewe umeshakamilisha sio?! Hata ukiitwa mara baada ya kusoma post hii, wito utakukuta wese likiwa full tank!!

Btw, how do you know all that just kwa kuangalia kaburi?!

You must be a very blessed person on earth!
 
Back
Top Bottom