Tanzia: Mzee Mohamed Hamis mchopanga hatunaye

Tanzia: Mzee Mohamed Hamis mchopanga hatunaye

Slim5

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
28,374
Reaction score
38,257
Baba mzazi wa mwanamuziki Jay Moe Famous, Mzee Mchopanga amefariki dunia mchana huu.

Mzee Mohammed Hamis Mchopanga 1948-2018

Innah Lillah wa innah ilayh rajiun
Screenshot_2018-04-14-09-10-11.jpg
 
Mzee Mohammed Hamis Mchopanga
1948-2018

Innah Lillah wa innah ilayh rajiun View attachment 744077

Tunashukuru kwa taarifa Mkuu na pole kwa Familia yake na tumuombee kwa Mwenyezi Mungu aipokee roho yake na aiweke mahala pema peponi. Ila nadhani ulipashwa pia angalau utupe kidogo ' Wasifu ' wake Mzee ili hata Sisi wengine tumjue kwani nina uhakika wengi wetu humu Jamvini ama hatumjui kabisa au kutokana na harakati zetu za Vyuma Kukaza hapa mjini tumeshamsahau. Tafadhali ama kupitia Kwako Wewe au Member mwingine yoyote tafadhali tupeni ' details ' za kutosha za huyu Mzee wetu.
 
Ni Baba Mzazi wa home boy, Hip Hop Legendary, JUMA MOHAMMED alias "JAY MO"
 
Ni wazee wa siku nyingi Makumbusho tangu zile enzi za nyumba za National Housing, wengi walizinunua kwa mkopo nafuu.
Nashukuru Kwa kunielewesha madame...

Bila shaka alikuwa mzee mtata sana mpaka watu kama ninyi kumfahamu....

Makumhusho hii ya sasa wazee wananiambia ilikuwa pori sana mtu akipewa kiwanja anasusa ila sasa kwa mijengo hii si makumbusho ya miaka ile...
 
Back
Top Bottom